Uchaguzi 2020 Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM: Dkt. Hussein Ally Mwinyi achaguliwa Kugombea Urais Zanzibar kupitia CCM. Membe afukuzwa rasmi

Uchaguzi 2020 Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM: Dkt. Hussein Ally Mwinyi achaguliwa Kugombea Urais Zanzibar kupitia CCM. Membe afukuzwa rasmi

Screenshot_20200711-071423.png
 
WANZANZIBAR AMKENI:
Wapiga kura walikuwa 164
Wanzanzibar wako 35 katika wapiga kura wote
Hakuna kura iliyoharibika 129+35=164
Umegundua nini hapa?
Kura za Dr Khalid 19
Kura za Shamsi 16
Jumla 35 -Wanzanzibar
Dr Mwinyi 129 zote Bara
Mtatawaliwa mpaka lini hamjui Jihad nyie nyambafu
 
Kura 164
Shamsu na Dr Khalid wakagawana 35 Sawa na wajumbe wote wa ZANZIBAR
Kura zilizobaki ambazo zilenda kwa mteule zilikuwa 129 hizo ni za Watanganyika

Ni hayo tuuu
Foro
Huo ndiyo ukweli mchungu, hata huyo Mwinyi atawategemea kina "Jecha" wa wakati huu, ili wamtangaze mshindi

Kwa kuwa hata yeye mwenyewe Mwinyi anajua wazi kuwa Maalim Seif ni maji marefu kwake
 
Daah!
Inafikirisha.

Mkuu angalia usijeukaombwa uoneshe kibali cha ktuoa takwimu hizo .....ha haaaaa.
Natania mkuu.
 
Kura 164
Shamsu na Dr Khalid wakagawana 35 Sawa na wajumbe wote wa ZANZIBAR
Kura zilizobaki ambazo zilenda kwa mteule zilikuwa 129 hizo ni za Watanganyika

Ni hayo tuuu
JMT hawamtaki Mzanzibar PASEE ,wanajua wakimchagua Mzanzibar basi muungano lazima uvunjwe!!
 
Foro
Huo ndiyo ukweli mchungu, hata huyo Mwinyi atawategemea kina "Jecha" wa wakati huu, ili wamtangaze mshindi
Hata hao akina Jecha wanalindwa na ..... sijui kama wanaweza " kusema Mwinyi hatoshi".

Nanukuu "Nitaashangaa kama kuna watu watasema Mwinyi hatoshi" alisikaka mdau kutoka karibu na Lake Tanganyika.
Tukapige kura jamani...
 
Kabla hujamsikitikia, fanya uchunguzi, anasemaje juu ya uzuri wa CCM na sera yake ya kuwajali wanyonge.

Kuna watu mifumo ya utawala iliyopo inawatesa sana lakini unashindwa kuwaonea huruma kwa sababu hawajitambui. Kinachowatesa ndicho wanachokitukuza na kukishangilia.

Kuna uwendawazimu, nchini mwetu, mtu akiwa chama gulani anaamini wajibu wake ni kukisifia chama cha ke katika kila tendo hata kama ni la kinyama kiasi gani. Hali hiyo inawafanya watawala kutufanyia chochote wanachotaka wao bila ya kujali wanachokitaka wananchi. Huyo anayetaabika sasa hivi hatujui yupo kundi lipi.

Kumsaudia mtu ambaye hajitambui na wala hatoi mchamgo wowote ili kubadilisha migumo mibaya iliyopo ni kushiriki uovu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo lilolopo bila kupepesa macho, nchi hii ujinga umetamalaki, elimu duni...hilo liko wazi raia hawajitambui.
 
Back
Top Bottom