Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
GONGA LINK>>>Maalim Seif Shariff Hamad alivyomsaliti Alhajj Aboud JumbeRais wa miyoni mwa Wazanzibar ni Maalim Seif
Rais wa miyoni mwa Wazanzibar ni Maalim Seif
Maalimu Seif ni mgombea kutoka nchi gani?
Mwenyewe amefumba na macho kabisa
Ushapaniki sasaUnajua maana ya kupaniki lakini? Kusema miaka mitano kisiasa ni mingi sana ndiyo kupaniki?
UmeelewekaKura 164
Shamsu na Dr Khalid wakagawana 35 Sawa na wajumbe wote wa ZANZIBAR
Kura zilizobaki ambazo zilenda kwa mteule zilikuwa 129 hizo ni za Watanganyika
Ni hayo tuuu
ForoKura 164
Shamsu na Dr Khalid wakagawana 35 Sawa na wajumbe wote wa ZANZIBAR
Kura zilizobaki ambazo zilenda kwa mteule zilikuwa 129 hizo ni za Watanganyika
Ni hayo tuuu
JMT hawamtaki Mzanzibar PASEE ,wanajua wakimchagua Mzanzibar basi muungano lazima uvunjwe!!Kura 164
Shamsu na Dr Khalid wakagawana 35 Sawa na wajumbe wote wa ZANZIBAR
Kura zilizobaki ambazo zilenda kwa mteule zilikuwa 129 hizo ni za Watanganyika
Ni hayo tuuu
Hata hao akina Jecha wanalindwa na ..... sijui kama wanaweza " kusema Mwinyi hatoshi".Foro
Huo ndiyo ukweli mchungu, hata huyo Mwinyi atawategemea kina "Jecha" wa wakati huu, ili wamtangaze mshindi
Tatizo lilolopo bila kupepesa macho, nchi hii ujinga umetamalaki, elimu duni...hilo liko wazi raia hawajitambui.Kabla hujamsikitikia, fanya uchunguzi, anasemaje juu ya uzuri wa CCM na sera yake ya kuwajali wanyonge.
Kuna watu mifumo ya utawala iliyopo inawatesa sana lakini unashindwa kuwaonea huruma kwa sababu hawajitambui. Kinachowatesa ndicho wanachokitukuza na kukishangilia.
Kuna uwendawazimu, nchini mwetu, mtu akiwa chama gulani anaamini wajibu wake ni kukisifia chama cha ke katika kila tendo hata kama ni la kinyama kiasi gani. Hali hiyo inawafanya watawala kutufanyia chochote wanachotaka wao bila ya kujali wanachokitaka wananchi. Huyo anayetaabika sasa hivi hatujui yupo kundi lipi.
Kumsaudia mtu ambaye hajitambui na wala hatoi mchamgo wowote ili kubadilisha migumo mibaya iliyopo ni kushiriki uovu.
Sent using Jamii Forums mobile app