Kwanini usimuue mtu anachoma petrol station? Mbona mnampa Mungu hata kazi ambazo sisi wenyewe tunaweza?.Baba hzo zote siasa..... Bra bra bra lakini kwa kuuwa raia haikubaliki ata kidini mwenye haki ya kutoa uhai wa mtu ni Muumba tu
kwani nimebisha mkuu?Unabisha kwani ulikuwapo?
Kama ulijua vileTena itakuwa vizuri zaidi akitoa kichwani asisome ya kuandikiwa.
Maana ya kuandikiwa inaweza kuwa na akili za watu kidogo ukitaka Boko linoge atoe kichwani kwake mwenyewe live and direct.
Huyu najua atakachosema kabla yeye hajajua atasema nini.Kama ulijua vile
Unamjua vizuri sana huyu chura!Walahi washajaa kwenye mfumo hawa. Hehee! Walahi sikujua ingejuwa hivi Nye Nye. Vijana morali iko juu mawinguni. Waasubiri Siku ya Jambo lao.
Sasa huyu samuya Kesho naambiwa anaenda kutoa bonge la boko walahi yachekesha si mazuri. Yaani waambiwa hutuba yake itawatia ndimi gen z. Boko kama boko.
Watu wabaya Nye. Tayari washamuingiza mkenge wanamharibia zaidi awe tegemezi kwaom. Hehee! Na bado! Askofu atatoka D6 kama winga wa kulia kisha D8 kuna suprise ndogo kama kishika uchumba. Mayi na bado.
😅😅😅😅😅😅Huyu jamaa taarifa zake hua zinakuja kwenye uandishi wa "kitaarabu taarabu" ila ujumbe wake ni mzito. Anapiga kulia na kushoto.
Hakika ww ni mtabiri na 9D atatuambia ndugu zetu waliokufa kawapeleka wapiWalahi washajaa kwenye mfumo hawa. Hehee! Walahi sikujua ingejuwa hivi Nye Nye. Vijana morali iko juu mawinguni. Waasubiri Siku ya Jambo lao.
Sasa huyu samuya Kesho naambiwa anaenda kutoa bonge la boko walahi yachekesha si mazuri. Yaani waambiwa hutuba yake itawatia ndimi gen z. Boko kama boko.
Watu wabaya Nye. Tayari washamuingiza mkenge wanamharibia zaidi awe tegemezi kwaom. Hehee! Na bado! Askofu atatoka D6 kama winga wa kulia kisha D8 kuna suprise ndogo kama kishika uchumba. Mayi na bado.
Hatari sanaAiseeeeeee
Vipi na wale mafisadi kwenye ripoti za CAG.... nao wauliwe au tuwachekee !!!Kwanini usimuue mtu anachoma petrol station? Mbona mnampa Mungu hata kazi ambazo sisi wenyewe tunaweza?.
Yaani unatetea MAHAYAWANI wa kuchoma petrol stations, police posts. mabasi ya mwendokasi??
Wewe ni wa shetani basi
Washtakiwe kwa mujibu wa sheriaVipi na wale mafisadi kwenye ripoti za CAG.... nao wauliwe au tuwachekee !!!
Vipi wanao teka na kuua nao je?
Walahi washajaa kwenye mfumo hawa. Hehee! Walahi sikujua ingejuwa hivi Nye Nye. Vijana morali iko juu mawinguni. Waasubiri Siku ya Jambo lao.
Sasa huyu samuya Kesho naambiwa anaenda kutoa bonge la boko walahi yachekesha si mazuri. Yaani waambiwa hutuba yake itawatia ndimi gen z. Boko kama boko.
Watu wabaya Nye. Tayari washamuingiza mkenge wanamharibia zaidi awe tegemezi kwaom. Hehee! Na bado! Askofu atatoka D6 kama winga wa kulia kisha D8 kuna suprise ndogo kama kishika uchumba. Mayi na bado.
Kwa hiyo mlidhani atawabembeleza kwenye hotuba yake?? NyambaaafWatu mko mbele ya muda😀