kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,154
- 17,491
Utashangaa viongozi waliopatikana kwa njia za kidemokrasia, wizi wa kura, mapinduzi na ving'ang'anizi madarakani eti wote wanajiita marais waliostahili kutumia kodi za mataifa yao kuhudhuria mkutano.
Wakubwa wanachojali pale sio ulipatikanaje kuwa Rais wa nchi yako, bali nitapata nini kutoka kwenye nchi yako ili nikukatie kipande cha chokoleti na udumu kwenye urais wako.
Kwenye mkutano huu wa UN hata madikteta na wezi wa mali za wananchi wao wanaruhusiwa ilimradi tu mataifa makubwa nao wanapata mgawo wao.
Sitegemei makubwa, maana hapendwi mtu pale.