mweusi asili
JF-Expert Member
- Nov 11, 2014
- 2,049
- 3,381
Ndipo hapo yanakuja maslahi ya jumla(common interests) ndio maana na sema hawafungwi kufuata kile anachoona hana maslahi nachoSio kweli kaka, maazimio mangapi kuhusu mabadiliko ya mazingira yalipitishwa na UN na hayakutekelezwa. Kinachoongelewa kwenye mkutano sio muhimu sana kuliko kila kinachoongelewa nje ya mkutano. Yaani pembezoni mwa mkutano mkuu ipo mikutano mingine midogomidogo kati ya kiongozi na kiongozi, au kiongozi na taasisi ya kibepari ambayo ndiyo hatari sana kwa bara letu.
Huo ndio ufala aliosema mzee wa upako,kuhusu timu ya ku negotiate na ku lobby watu wapo wazuri sana shida kwetu waafrika hususani watanzania siasa na upendeleo ndio unaotukwamisha bila kuangalia uzoefu na weledi hasa hizi nafasi za uteuzi ambazo ndio timu inayotakiwa kumshauri raisi Sasa unaambiwa ikimpendeza Raisi unategemea nini zaidi ya ubinafsi na rushwa ndio tunaishia kupata mikataba ya kifala. Tanzania bila kuwa na taasisi na mifumo bora na imara(katiba mpya) ili kupata watu sahihi maendeleo tutayasikia tu na CCM wataendelea kutuchezesha singeli mpaka mwisho wa dunia 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kaka wakati wa mkutano mkuu wa UN mataifa na makampuni makubwa yote ya kibiashara yanakuwepo sehemu ile kuwakamata viongozi washamba, mazuzu na waroho wa mali na anasa kama vile mamba wanavyojazana kwenye mto Mara wakati nyumbu na pundamilia wanavuka mto kwenda ng'ambo ya pili ya mto. Maana hapa viongozi wetu wamejipeleka wenyewe kwa gharama zao. Bahati mbaya viongozi wetu hawana timu za watu wenye weledi mkubwa wa kufanya negotiations na watu hawa wenye elimu ya juu kabisa kwenye negotiations, lobbing, and mikataba ya kibiashara, hivyo wanajikuta wakiingia kichwakichwa bila kujua kwenye mikataba ya hovyo, kama vile akina Karl Peters alivyotufanyia enzi zao.
Umesaha Ulimboka alivyong'olewa meno na kucha wakati wa Kikwete.Naakumbuka wakati wa kikwete Mwangosi aliuawa na polisi,,kibanda alimwagiwa tindikali..Dr silaha na mke wake walipasuliwa uso lakini sikusikia malalamiko ya watu wa kimataifa,,sbb ni kwakuwa walikuwa wanasomba dhahabu zetu kupitia mchanga wetu..Lakini magu alivyoingia upande wake wakasema ni dicteta..so unavyosema UN ni wapuuzi fulani wasiowasidia wananchi wakawaida
Wenzetu ambao wako serious na nchi zao wanaandaa wataalam wao kwenye kila nyanja hata ikibibidi nje ya nchi kwa gharama kubwa sana kwenye vyuo mashuhuli kwa fani husika ili waje wawe mashujaa wao kwenye sekta husika, mfano kwenye maeneo ya mikataba, madini, lobbing, gesi, mafuta, mifugo, uvuvi, mawasiliano, nk. watu ambao wana kimo sawa na wataalamu wa mataifa mengine kwenye eneo husika.Huo ndio ufala aliosema mzee wa upako,kuhusu timu ya ku negotiate na ku lobby watu wapo wazuri sana shida kwetu waafrika hususani watanzania siasa na upendeleo ndio unaotukwamisha bila kuangalia uzoefu na weledi hasa hizi nafasi za uteuzi ambazo ndio timu inayotakiwa kumshauri raisi Sasa unaambiwa ikimpendeza Raisi unategemea nini zaidi ya ubinafsi na rushwa ndio tunaishia kupata mikataba ya kifala. Tanzania bila kuwa na taasisi na mifumo bora na imara(katiba mpya) ili kupata watu sahihi maendeleo tutayasikia tu na CCM wataendelea kutuchezesha singeli mpaka mwisho wa dunia 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mataifa yote ya Afrika kuwa masikini sio bahati mbaya wala amri ya Mungu, bali sababu ya aina moja iliyowekwa kwa ustadi mkubwa inayosababisha yawe hivyo. Kwa bahati mbaya viongozi wetu wa Afrika hawaonekani kuhangaika kwa pamoja kujinasua na sababu hiyo. Sababu hiyo ni kati ya hizi zifuatazo:Kitengo maalumu cha kueneza na kusimika siasa za magharibi kwa masrahi ya mataifa yao makubwa. Ni aina flani ya mtego ambao asiyeunga mkono ataonekana ni adui wa ulimwengu kumbe hayo hayo mataifa makubwa ndo maadui wakuu wa ulimwengu na nchi maskini.
Tunasubiri raisi wa Afghanistan chini ya Taleban nae ahutubie, naamini ataweka masharti na vigezo kwa wabeijing kuondoka ukumbini atakapokuwa anahutubia.Utashangaa viongozi waliopatikana kwa njia za kidemokrasia, wizi wa kura, mapinduzi na ving'ang'anizi madarakani eti wote wanajiita marais waliostahili kutumia kodi za mataifa yao kuhudhuria mkutano.
Wakubwa wanachojali pale sio ulipatikanaje kuwa Rais wa nchi yako, bali nitapata nini kutoka kwenye nchi yako ili nikukatie kipande cha chokoleti na udumu kwenye urais wako.
Kwenye mkutano huu wa UN hata madikteta na wezi wa mali za wananchi wao wanaruhusiwa ilimradi tu mataifa makubwa nao wanapata mgawo wao.
Sitegemei makubwa, maana hapendwi mtu pale.
You have my respect for this bro.UN ipo kabla ya kupata uhuru wetu, lakini watu wetu hawana hata maji tu ya kunywa hadi sasa hivi ninaandika uzi huu, hii ni kuonyesha kuwa sio UN itakayotutoa hapa tulipo. UN ni pahala ambapo viongozi wetu legelege wanakwenda kuuza nchi zao na wale viongozi wakakamavu na wanaowapenda watu wao na mataifa yao wanakwenda kusulubiwa na pengine kutengwa au kuuawa.
😲😲😲 Mmmh it's very sad.So what others are still feeling their winner in approaching the UN meeting"Veto power policy" means that if you're the big Leader of the certain National and your Country doesn't match agreeable qualifications of the The Greatest Nations in Economic Development lists as now they are counted 20 G, you have no any right to make decisions rather than being a good listener and supporting any issues that can be discussed in the meeting room.
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Iringa tuu hajawahi kufika eti unabeza kwenda unUtashangaa viongozi waliopatikana kwa njia za kidemokrasia, wizi wa kura, mapinduzi na ving'ang'anizi madarakani eti wote wanajiita marais waliostahili kutumia kodi za mataifa yao kuhudhuria mkutano.
Wakubwa wanachojali pale sio ulipatikanaje kuwa Rais wa nchi yako, bali nitapata nini kutoka kwenye nchi yako ili nikukatie kipande cha chokoleti na udumu kwenye urais wako.
Kwenye mkutano huu wa UN hata madikteta na wezi wa mali za wananchi wao wanaruhusiwa ilimradi tu mataifa makubwa nao wanapata mgawo wao.
Sitegemei makubwa, maana hapendwi mtu pale.
Mataifa yote ya Afrika kuwa masikini sio bahati mbaya wala amri ya Mungu, bali sababu ya aina moja iliyowekwa kwa ustadi mkubwa inayosababisha yawe hivyo. Kwa bahati mbaya viongozi wetu wa Afrika hawaonekani kuhangaika kwa pamoja kujinasua na sababu hiyo. Sababu hiyo ni kati ya hizi zifuatazo:
1. Viongozi wa Afrika kupenda misaada kutoka kwa wakoloni wao.
2. Viongozi wa Afrika kupenda sana kwenda ulaya na marekani
3. Elimu hafifu inayotolewa kwenye mataifa ya kiafrika
4. Viongozi wa Kiafrika kupenda kusifiwa na wazungu.
5. Viongozi wa Afrika kuacha kufuata ushauri wa wataalamu wao kwenye maamuzi, hawaamini utaalamu.
6. Nchi za Afrika kuuziana wenyewe kwa wenyewe bidhaa kidogo sana.
7. Nchi za Afrika kutokuwa na msimamo wa pamoja kuhusu hatima yao
8. Nchi za Afrika kuwa na sera mbaya
9. Waafrika kuacha kuthamini vitu vyao
10. Ukoloni mamboleo: Zile sababu zilizowasukuma wazungu watafute makoloni miaka ya 1880's bado wanazo hadi leo. UN, commonwealth na taasisi nyingine zenye sura ya kimataifa kuvalishwa agenda za siri.
11. Viongozi wetu wa Afrika kufurahishwa na sera za wazungu za divide and rule: Mfano, Kenya inafurahi kuondolewa vikwazo vya kusafiri na waingereza kwa masuala ya covid 19 katikati ya nchi zote za Afrika mashariki na kati, lakini wamefurahia kitu kama hicho.
Si kweli lile ni jukwaa la kuwaanda wawekezaji na kubuni mikakati mipya ya kukabiliana na majanga ya Dunia.Ukweli mtupu
Hata maprofessor wanakimbilia kuajiliwa na wenzao, kujiajili imeshindikana.Mkutano huu hauna hata faida kwa nchi za africa kila rais wa africa akisimama kuhutubia ni lazima aombe msaada tu tumelogwa nani sijui
Mtu anasoma masomo ya biashara lakini hawezi kufungua hata genge anataka kuajiriwa tu