Uchaguzi 2020 Mkutano wa Viongozi wa Dini wa kuunga mkono juhudi za Rais Magufuli kuelekea Uchaguzi Mkuu!

Karibu.

Mkutano uko mubashara kupitia Channel ten kutoka ukumbi wa JNICC na mgeni rasmi ni waziri mkuu mh Majaliwa.

Up dates;

Kwa sasa mh Majaliwa anahutubia na anajaribu kuelezea kwa kirefu mafanikio ya serikali ya awamu ya 5

Waziri mkuu anawashukuru viongozi wa dini kwa dua zao zilipelekea nzige wa hatari kuishia mpakani kwa nchi jirani na wasiingie kwetu kadhalika Corona ikatoweka.
Ikiwa wanamuunga mkono kama watumishi Mungu Ni jambo jema, lkn kama wana sababu zao binafsi wao wenyewe ndo watazikweza nafsi zao.
 
Mpumbavu ni wewe unayeyauonea haya ukweli wa mambo, Mazuri yakifanywa na yeyote hata ni Chama kipya kitakachoingia madarakani, ifike mahali Kwanza tuyapende yanayofanywa na kusimamiwa vizuri na viongozi wetu na kutoka kila pahala, yakifanywa na mpinzani tuyakubali na kujivunia pia

Tujivunge Kwa lipi kuyaongelea haya mapinduzi makubwa kabisa yaliyofanyika Chini ya usimamizi wa Raisi wetu? Tujivunge kuipenda nchi yetu na vitu vinavyofanyika Kwa sababu Tu kafanya mtu asiyependwa na wapinzani siyo,

Huo ndio upumbavu sasa, tutayapenda na kujivunia yote atakayokuja kuyafanya mh Lisu Pindi Mungu atakapoona vema awe Raisi wetu

Acha Ujinga kuandika Ujinga

Mkuu ili kunogesha hayo maelezo yako mazuri, hilo kongamano lilikuwa la amani, je lini hao viongozi wa dini watafanya la haki? Uzuri wa kongamano la haki litajumuisha na amani humo humo ndani, ila la amani sio lazima lilelete haki.
 
Hivi na Kanisa katoliki wamemtuma Askofu mmojawapo kuhudhuria kikao hicho?
Hakuna askofu, kimaadili ni jambo la ovyo ndio maana akatumwa Padri akawakilishe like diplomacy step tu ili kutovunja daraja.

Wanaomshauri mh vitu kama hivi wanampotosha. Kesho wapinzani waki organise lao? Kwa kazi alizofanya JPM haiitajiki kwenda that low ...
 
Mbona hawa viongozi wa dini wanawagawa waumini wao?
Mbona hawa viongozi wa dini wanavunja umoja wa taifa?
 
Karibu.

Mkutano uko mubashara kupitia Channel ten kutoka ukumbi wa JNICC na mgeni rasmi ni waziri mkuu mh Majaliwa.

Up dates;

Kwa sasa mh Majaliwa anahutubia na anajaribu kuelezea kwa kirefu mafanikio ya serikali ya awamu ya 5

Waziri mkuu anawashukuru viongozi wa dini kwa dua zao zilipelekea nzige wa hatari kuishia mpakani kwa nchi jirani na wasiingie kwetu kadhalika Corona ikatoweka.
Ndio yale mambo aliyosema Kigogo2014 kuhusu viongozi wa dini kulipwa kufanya MAPAMBIO.
 
Mkuu ili kunogesha hayo maelezo yako mazuri, hilo kongamano lilikuwa la amani, je lini hao viongozi wa dini watafanya la haki? Uzuri wa kongamano la haki litajumuisha na amani humo humo ndani, ila la amani sio lazima lilelete haki.
Mkuu, kama lipo Hilo la haki, waulizwe wao, Ili waseme ni lini watafanya!! Sizijui hizo ratiba zao mimi
 
Hawa hawa waliondaa la amani ndio walipaswa kuaandaa la haki, maana la haki ni full package na amani ndani. Huoni kuhubiri amani ukiacha kutenda haki ni utapeli kama utapeli mwingine? Ni ukweli ulio wazi kuwa wanaohubiri amani hawamaanishi amani bali uoga, maana ukitenda haki huhitaji kuhubiri amani, kwani automatically amani itakuwepo.
 
Watawala wote walio piga marufuku Dini waliona mbali sana, na ukiangalia hata kwenye Ukomonist unaamini Dini ni biashara.

Kwa tunayo yaona kwa kweli nakubaliana nao kwa 100% kwamba dini ni biashara, na walio wahi kupiga marufuku Dini walikiwa sahihi kabisa kabisa.

Kwa kuwaunga mkono nimeamua kuachana na kwenda kanisani na sadaka nitawapatia ombaomba barabarani au nitapeleka kwenye vituo vya watoto yatima au Hospialini.

Sitakanyaga kanisani kamwe
 
Leo nimepitia na habari muhimu sna katika mustakabali wa Taifa letu!
Hivi Ni viongozi Wapi walihudhuria ibada hii takatifu!
 
Watawala wote walio piga marufuku Dini waliona mbali sana, na ukiangalia hata kwenye Ukomonist unaamini Dini ni biashara.

Kwa tunayo yaona kwa kweli nakubaliana nao kwa 100% kwamba dini ni biashara, na walio wahi kupiga marufuku Dini walikiwa sahihi kabisa kabisa.

Kwa kuwaunga mkono nimeamua kuachana na kwenda kanisani na sadaka nitawapatia ombaomba barabarani au nitapeleka kwenye vituo vya watoto yatima au Hospialini.

Sitakanyaga kanisani kamwe
Waumini tumekusikia Tundu Lissu. Tutayakumbuka maneno yako Oktoba 28!
 
Watawala wote walio piga marufuku Dini waliona mbali sana, na ukiangalia hata kwenye Ukomonist unaamini Dini ni biashara.

Kwa tunayo yaona kwa kweli nakubaliana nao kwa 100% kwamba dini ni biashara, na walio wahi kupiga marufuku Dini walikiwa sahihi kabisa kabisa.

Kwa kuwaunga mkono nimeamua kuachana na kwenda kanisani na sadaka nitawapatia ombaomba barabarani au nitapeleka kwenye vituo vya watoto yatima au Hospialini.

Sitakanyaga kanisani kamwe
Ni kweli dini inalemaza na kudumaza ajili. Mimi imenidumaza na kunilemaza akili mpaka Sasa nna gari mbili, nna nyumba na shamba, natoa sadaka zamani ilikuwa buku buku Sasa hivi nakaribia kutoa mamilioni. Siumwiumwi ovyo ovyo pamoja na pilika zote nnazofanya na masahibu nnayopitia. Aisee kweli dini imenidumaza
 
Sawa kabisa mafanikio ya awamu ya tano eheee
IMG_20200808_185050.jpg
 
Back
Top Bottom