Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya msingi ni taslimu kama yalivyo elezwa kwa ufupi hapa:
ZZK na ACT maslahi ya taifa ni muhimu zaidi kuliko maslahi binafsi.

Chadema sasa hivi ni kikundi cha wahuni. Bila Mbowe hakuna Chadema. Viongozi waliobaki ni takataka wasio kuwa na maono. Kugeuza chama kuwa kikundi cha harakati za mtandaoni. Hivi Martini au Mdude wanaweza kushinda uchaguzi wa hata kitongoji?
Chama kikuu cha upinzani kwa sasa ni ACT na Zito kashikilia makali Chadema mtaisoma namba sana tu,
Afu pale kla mtu alienda kwa maslai ya chama chake sasa Chadema waligoma kwa maslai yao na ACT wauzulia kwa maslai ya chama chao
Uchaguzi uko wapi Tanzania hii wakati chama fulani kinakimbia na masanduku ya kura kikishirikiana na polisi na usalama pamoja na kuwateka nyara mawakala wa vyama vingine.Chadema sasa hivi ni kikundi cha wahuni. Bila Mbowe hakuna Chadema. Viongozi waliobaki ni takataka wasio kuwa na maono. Kugeuza chama kuwa kikundi cha harakati za mtandaoni. Hivi Martini au Mdude wanaweza kushinda uchaguzi wa hata kitongoji?
Tatizo mnakurupuka kama Tundu anavyokurupuka na kumuamini kuliko mungu. Sikiliza Zito alivyomreduce to nothingKumbe walikubaliana. Sasa Kama.Zitto alikuwa kakubaliana ilikuwaje akahudhuria? Si angekataa tu pale pale kwenye makubaliano?
viroboto at workTatizo mnakurupuka kama Tundu anavyokurupuka na kumuamini kuliko mungu. Sikiliza Zito alivyomreduce to nothing
Viroboto at workChadema sasa hivi ni kikundi cha wahuni. Bila Mbowe hakuna Chadema. Viongozi waliobaki ni takataka wasio kuwa na maono. Kugeuza chama kuwa kikundi cha harakati za mtandaoni. Hivi Martini au Mdude wanaweza kushinda uchaguzi wa hata kitongoji?
Umeletwa na kokoro?Mzee Kigaila atawaponza sana CHADEMA........
Nashauri mumpeleke kikozi kifupi hapo CHUO CHA DIPLOMASIA akasome RESOLVING CONFLICTS........
Ni hatari sana kumtanguliza "soldier" mwenye jazba aongelee maswala ya DIPLOMASIA mbele ya HADHIRA yenye Weledi KUNTU......
#Siempre JMT
Ya msingi ni taslimu kama yalivyo elezwa kwa ufupi hapa:
Kwa majibu haya ya Mh. Zitto. Tunapiga hatua:
Kuvunjika kwa kile si mwisho wa uhunzi.
Kwa hakika maslahi ya taifa ni muhimu zaidi kuliko maslahi binafsi.
Tutafika tu.
Ukiichukulia siasa kama maslahi yako binafsi utadharaulika na wananchi walio wengi hasa na wanaojitambua, watu wanaipigania haki yao wewe unajiegemeza kwa watawala dhalimu ili unufaike na chama chako.Chama kikuu cha upinzani kwa sasa ni ACT na Zito kashikilia makali Chadema mtaisoma namba sana tu,
Afu pale kla mtu alienda kwa maslai ya chama chake sasa Chadema waligoma kwa maslai yao na ACT wauzulia kwa maslai ya chama chao