Mkutano wa wadau wa Siasa: Sababu za Chadema Kukerwa

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Ya msingi ni taslimu kama yalivyo elezwa kwa ufupi hapa:

Kwa majibu haya ya Mh. Zitto. Tunapiga hatua:

Kuvunjika kwa kile si mwisho wa uhunzi.

Kwa hakika maslahi ya taifa ni muhimu zaidi kuliko maslahi binafsi.

Tutafika tu.
 
ZZK na ACT maslahi ya taifa ni muhimu zaidi kuliko maslahi binafsi.

Kumbe walikubaliana. Sasa Kama.Zitto alikuwa kakubaliana ilikuwaje akahudhuria? Si angekataa tu pale pale kwenye makubaliano?
 
Chama kikuu cha upinzani kwa sasa ni ACT na Zito kashikilia makali Chadema mtaisoma namba sana tu,

Afu pale kla mtu alienda kwa maslai ya chama chake sasa Chadema waligoma kwa maslai yao na ACT wauzulia kwa maslai ya chama chao
 
Chadema sasa hivi ni kikundi cha wahuni. Bila Mbowe hakuna Chadema. Viongozi waliobaki ni takataka wasio kuwa na maono. Kugeuza chama kuwa kikundi cha harakati za mtandaoni. Hivi Martini au Mdude wanaweza kushinda uchaguzi wa hata kitongoji?
 
Wahuni, matapeli na viroboto si mlisha kubaliana wapo huko kwenu?

Kwani Pole pole alisema je vile?
 
Chama kikuu cha upinzani kwa sasa ni ACT na Zito kashikilia makali Chadema mtaisoma namba sana tu,

Afu pale kla mtu alienda kwa maslai ya chama chake sasa Chadema waligoma kwa maslai yao na ACT wauzulia kwa maslai ya chama chao

😁😁

IMG_20211216_134118_843.jpg
 
Mzee Kigaila atawaponza sana CHADEMA........

Nashauri mumpeleke kikozi kifupi hapo CHUO CHA DIPLOMASIA akasome RESOLVING CONFLICTS........

Ni hatari sana kumtanguliza "soldier" mwenye jazba aongelee maswala ya DIPLOMASIA mbele ya HADHIRA yenye Weledi KUNTU......

#Siempre JMT
 
Chadema sasa hivi ni kikundi cha wahuni. Bila Mbowe hakuna Chadema. Viongozi waliobaki ni takataka wasio kuwa na maono. Kugeuza chama kuwa kikundi cha harakati za mtandaoni. Hivi Martini au Mdude wanaweza kushinda uchaguzi wa hata kitongoji?
Uchaguzi uko wapi Tanzania hii wakati chama fulani kinakimbia na masanduku ya kura kikishirikiana na polisi na usalama pamoja na kuwateka nyara mawakala wa vyama vingine.
 
Kumbe walikubaliana. Sasa Kama.Zitto alikuwa kakubaliana ilikuwaje akahudhuria? Si angekataa tu pale pale kwenye makubaliano?
Tatizo mnakurupuka kama Tundu anavyokurupuka na kumuamini kuliko mungu. Sikiliza Zito alivyomreduce to nothing
 
Chadema sasa hivi ni kikundi cha wahuni. Bila Mbowe hakuna Chadema. Viongozi waliobaki ni takataka wasio kuwa na maono. Kugeuza chama kuwa kikundi cha harakati za mtandaoni. Hivi Martini au Mdude wanaweza kushinda uchaguzi wa hata kitongoji?
Viroboto at work
 
Mzee Kigaila atawaponza sana CHADEMA........

Nashauri mumpeleke kikozi kifupi hapo CHUO CHA DIPLOMASIA akasome RESOLVING CONFLICTS........

Ni hatari sana kumtanguliza "soldier" mwenye jazba aongelee maswala ya DIPLOMASIA mbele ya HADHIRA yenye Weledi KUNTU......

#Siempre JMT
Umeletwa na kokoro?
 
..yote haya tunayopitia ni kwasababu ccm haitaki kutenda haki kwa vyama vingine.

..wanayopitia wapinzani, kuna mwana-ccm anatamani kuyapitia?

..kila mwenye akili anajua kwamba kinachotendeka kwa wapinzani siyo HAKI.
 
Ya msingi ni taslimu kama yalivyo elezwa kwa ufupi hapa:

Kwa majibu haya ya Mh. Zitto. Tunapiga hatua:

Kuvunjika kwa kile si mwisho wa uhunzi.

Kwa hakika maslahi ya taifa ni muhimu zaidi kuliko maslahi binafsi.

Tutafika tu.

Zitto is shaky. He has to be trusted with alot of reservation.
 
Chama kikuu cha upinzani kwa sasa ni ACT na Zito kashikilia makali Chadema mtaisoma namba sana tu,

Afu pale kla mtu alienda kwa maslai ya chama chake sasa Chadema waligoma kwa maslai yao na ACT wauzulia kwa maslai ya chama chao
Ukiichukulia siasa kama maslahi yako binafsi utadharaulika na wananchi walio wengi hasa na wanaojitambua, watu wanaipigania haki yao wewe unajiegemeza kwa watawala dhalimu ili unufaike na chama chako.

Ukishapata idadi ya hao wabunge unaowataka mwishowe mtaongozwa na mtawala dhalimu kama mbuzi, huo ndio ujinga Chadema wasioutaka, ulafi wako wa madaraka utasababisha maumivu kwa wananchi kama yanavyowakuta wapemba, wape pole.
 
Back
Top Bottom