Mkuu Poor brain, mateso ya Mama wa Kambo hauko peke yako, tumeyapitia wengi

noma sana
Nilikuwa mji X napelekewa moto balaa, wakati huo hakukuwa na huduma za simu, baada ya miaka kupita, nimerudi kijijini, kwenye kupekua pekua mafaili pale nilipofikia nakutana na barua. Kuna jirani aliandika barua kwenda kijijini kuwajulisha kwamba huyu dogo hapa mjini moto anaopelekewa sio wa kitoto. Sijui kama aliyeandikiwa ile barua kuna hatua alichukua au vipi
 
kabisa mkuu huyu mama hakuwahi kuonesha dalili mbaya zozote tukiwa karibu na mzee, ila akitoka aisee
 
mkuu wewe unasema kulala nje, watu tumelala sana juu ya miti ya miembe na kukakucha
 
Watu wanasema samehe samahe ila kiukweli sisi binaadamu tuna nyongo..
Mkuu kuna watu wanakufanyia ubaya na hawajifunzi.

Kama hapo wanajutia sana ila kwa sasa mi ushauri wangu ni kupotezeq tu ishi maisha yako...
SAMEHE NA ACHANA NAO SIO KUFANYA UKARIBU AU URAFIKI, WABAKIA WATU WA KAWAIDA (SIO ADUI WALA RAFIKI PIA SIO NDUGU)
 
Ushauri mwanana
 
Aisee ????
"When life gives you lemons, make lemonade"

Ulishawaza huyo Mama wa Kambo angeweza kukuwekea hata Sumu kabisa na ukafa (Nina uhakika asingeshindwa); Wewe samehe piga lapa,
 
Aisee ????
"When life gives you lemons, make lemonade"

Ulishawaza huyo Mama wa Kambo angeweza kukuwekea hata Sumu kabisa na ukafa (Nina uhakika asingeshindwa); Wewe samehe piga lapa,
Mwana siwezi msahau sababu Kuna mambo alinifanya mpaka Leo bado napambana nayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…