Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Ni Dk Ogwell.
Huyo mwamba huwa anajifanya mpenda demokrasia na huwahusudu sana wazungu na kuwaponda Viongozi wa ki Afrika.
Sasa juzi Wajerumani wamemuonyesha yeye siyo mwenzao pamoja na kuwa na Visa na matokeo yake ameishia kujibaraguza kuisifia Afrika kwa utu wake.