Precise Pangolin
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 13,010
- 6,678
Hivi Hamas wapo tena kweli? Kipigo kimewafanya wahamie mapangoni kama nguruwe poriWaisraeli 1500 vs wapalestina 900 .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi Hamas wapo tena kweli? Kipigo kimewafanya wahamie mapangoni kama nguruwe poriWaisraeli 1500 vs wapalestina 900 .
Kama wamezoea mbona wanalialia hahahaha na badoWapalestina wameshazoea hayo maisha ndo maana sasa hivi wameamua kupigana
Usidanganyike,,hiyo ni propaganda. Utaambiwa waisrael wamekufa elf 7 Palestine 1500. Lengo jamaa ateketeze kizazi chote.Sema waisraeli wengi wamekufa sana zaidi ya 1500
kwaakili yako imani lazima kuwe na dini? nshakwambia tulia.Imani gani, hizi dini za uongo za wazungu na waarabu? Waafrika dini yetu ni ipi? Uislamu ni ya waarabu. Ukristo ni wazungu. Sisi waafrika yetu ni ipi?
Wewe kweli hujitambui nani kakuambia kila mtu ni muislamu? acha waisraeli wapigwe wamezoea uonevu.hehehe ustadhi kama nakuona umekaa na likanzu hapo mnaaminishana hizi pumba....subirini dawa ikolee, kipigo kwa kwenda mbele.
Hawajakaa kupanga namna ya kulipiza kisasi ? [emoji23][emoji23][emoji23] mpk wasemeMaafa yamemfikia mkuu wa HAMAS baada ya bomu kupiga kwake nyumbani na kuua wote waliokuwemo, nashangaa sana kwamba yeye aliamrisha makombora kwenda Israel halafu hakutorosha...
kwahyo mnavyoomba pray for palestine , kumb3 mnaomba waendelee kutoa kipigo ? Hamas kuua waisrael sio wachokoz ila waisrael wakijibu basi wao ni wachokozWewe kweli hujitambui nani kakuambia kila mtu ni muislamu? acha waisraeli wapigwe wamezoea uonevu.
Israel feki hawajaanza jana kuwaua wapalestina.sasa hivi wapalestina wameamka sasa ndo maana unaona waisraeli ni wengi wamekufa kuliko wapalestina.kwahyo mnavyoomba pray for palestine , kumb3 mnaomba waendelee kutoa kipigo ? Hamas kuua waisrael sio wachokoz ila waisrael wakijibu basi wao n.
Kwa hiyo ulitakaje?Sijui nani aliwashauri hamas vibaya kuchokoza mzinga wa nyuki bila mavazi ya nyuki.
Amri ya 11 ya shetani inasema...
Dini yenu ni kuiabudu CCM na Marais wapumbavu wapumbavuImani gani, hizi dini za uongo za wazungu na waarabu? Waafrika dini yetu ni ipi? Uislamu ni ya waarabu. Ukristo ni wazungu. Sisi waafrika yetu ni ipi?
Soma post vizur ueleweKwa hiyo ulitakaje?
Kwamba Waisrael wafe kisha wanyamaze kimya tu,Huu ni mwisho wa enzi wa uwepo wa Taifa la Palestina tena.
Mganga hajigangiMaafa yamemfikia mkuu wa HAMAS baada ya bomu kupiga kwake nyumbani na kuua wote waliokuwemo, nashangaa sana kwamba yeye aliamrisha makombora kwenda Israel halafu hakutorosha familia yake wakaishi kwenye mafichoni, kawaanika tu kizembe, haya wamewahishwa mbele za haki...
Ungenyooka moja kwa Moja. Allah ndie aletae, afurahiaye vita ili kupata damu. Yule waliyekuwa wanamshangilia huku wanauwa watu kwa kuwapiga risasi ndio huyo atawamaliza mmoja baada ya mwingine. Najua hii ni agenda ya shetani na mawakala wake huu mzozo ni sababu tu hata hivyo kazi iendelee. Kichapo kipo pale pale tuseme Takbirrrr 😂😂😂😂. Poleni wenye kuwahi mabikra 72 huko kwenye ziwa la moto uwakao na kiberiti.Shetani ndie aletae vita ili kupata damu kwenye vita wanauhakika wa kupata lita nyingi sana za damu tofauti na ajali.
Bye bye Hamas, bye, bye Gaza city, the city of terrorists. Sema TakbirrrrSimple analysis:
US ni main sponsor wa GAYS duniani,....
US ni main sponsor wa ISRAEL ( jews) ..
POPE ameshateleza na kusema about GAYS ,..kama hili la imani ameshindwa kusimama nalo anaweza kweli kuiona uadilifu wa mzozo wa Palestinians vs ISRAEL ..? ( ame sideline na US + ISRAEL)
Hivi inahitaji maarifa mengine kuona hili kwamba hakuna hidden and common ajenda kwa hizi 3 pillars duniani....??
Ni jamii gani ktk dunia hiii au ideology gani lpo completelly against this Group/pillars...
Ambapo hasa these pillars zinaiogopea sana hiyo ideology....??
Ukibisha ni kwamba unataka kujiridhisha na unachokiiona duniani...
Mtu anayejielewa lazima awe aware na matukio makubwa yanayotendeka duniani acha kujisifia ujinga.Waafrika wa jamii forums
Kuna watu hawajui hata kama kuna vita Palestina.
Mimi mwenyewe hii habari nimeipata Jumatatu. Kwenye tv ni tamthiliya asubuhi hadi jioni