Mkuu wa HAMAS apoteza mwanaye na ndugu baada ya bomu la Israel kupiga kwake

Mkuu wa HAMAS apoteza mwanaye na ndugu baada ya bomu la Israel kupiga kwake

hehehe ustadhi kama nakuona umekaa na likanzu hapo mnaaminishana hizi pumba....subirini dawa ikolee, kipigo kwa kwenda mbele.
Wewe kweli hujitambui nani kakuambia kila mtu ni muislamu? acha waisraeli wapigwe wamezoea uonevu.
 
Maafa yamemfikia mkuu wa HAMAS baada ya bomu kupiga kwake nyumbani na kuua wote waliokuwemo, nashangaa sana kwamba yeye aliamrisha makombora kwenda Israel halafu hakutorosha...
Hawajakaa kupanga namna ya kulipiza kisasi ? [emoji23][emoji23][emoji23] mpk waseme
 
kwahyo mnavyoomba pray for palestine , kumb3 mnaomba waendelee kutoa kipigo ? Hamas kuua waisrael sio wachokoz ila waisrael wakijibu basi wao n.
Israel feki hawajaanza jana kuwaua wapalestina.sasa hivi wapalestina wameamka sasa ndo maana unaona waisraeli ni wengi wamekufa kuliko wapalestina.
 
Waafrika wa jamii forums

Kuna watu hawajui hata kama kuna vita Palestina.

Mimi mwenyewe hii habari nimeipata Jumatatu. Kwenye tv ni tamthiliya asubuhi hadi jioni
 
Simple analysis:

US ni main sponsor wa GAYS duniani,....
US ni main sponsor wa ISRAEL ( jews) ..
POPE ameshateleza na kusema about GAYS ,..kama hili la imani ameshindwa kusimama nalo anaweza kweli kuiona uadilifu wa mzozo wa Palestinians vs ISRAEL ..? ( ame sideline na US + ISRAEL)

Hivi inahitaji maarifa mengine kuona hili kwamba hakuna hidden and common ajenda kwa hizi 3 pillars duniani....??

Ni jamii gani ktk dunia hiii au ideology gani lpo completelly against this Group/pillars...

Ambapo hasa these pillars zinaiogopea sana hiyo ideology....??

Ukibisha ni kwamba unataka kujiridhisha na unachokiiona duniani...
 
Maafa yamemfikia mkuu wa HAMAS baada ya bomu kupiga kwake nyumbani na kuua wote waliokuwemo, nashangaa sana kwamba yeye aliamrisha makombora kwenda Israel halafu hakutorosha familia yake wakaishi kwenye mafichoni, kawaanika tu kizembe, haya wamewahishwa mbele za haki...
Mganga hajigangi
 
Shetani ndie aletae vita ili kupata damu kwenye vita wanauhakika wa kupata lita nyingi sana za damu tofauti na ajali.
Ungenyooka moja kwa Moja. Allah ndie aletae, afurahiaye vita ili kupata damu. Yule waliyekuwa wanamshangilia huku wanauwa watu kwa kuwapiga risasi ndio huyo atawamaliza mmoja baada ya mwingine. Najua hii ni agenda ya shetani na mawakala wake huu mzozo ni sababu tu hata hivyo kazi iendelee. Kichapo kipo pale pale tuseme Takbirrrr 😂😂😂😂. Poleni wenye kuwahi mabikra 72 huko kwenye ziwa la moto uwakao na kiberiti.
 
Simple analysis:

US ni main sponsor wa GAYS duniani,....
US ni main sponsor wa ISRAEL ( jews) ..
POPE ameshateleza na kusema about GAYS ,..kama hili la imani ameshindwa kusimama nalo anaweza kweli kuiona uadilifu wa mzozo wa Palestinians vs ISRAEL ..? ( ame sideline na US + ISRAEL)

Hivi inahitaji maarifa mengine kuona hili kwamba hakuna hidden and common ajenda kwa hizi 3 pillars duniani....??

Ni jamii gani ktk dunia hiii au ideology gani lpo completelly against this Group/pillars...

Ambapo hasa these pillars zinaiogopea sana hiyo ideology....??

Ukibisha ni kwamba unataka kujiridhisha na unachokiiona duniani...
Bye bye Hamas, bye, bye Gaza city, the city of terrorists. Sema Takbirrrr
 
Waafrika wa jamii forums
Kuna watu hawajui hata kama kuna vita Palestina.
Mimi mwenyewe hii habari nimeipata Jumatatu. Kwenye tv ni tamthiliya asubuhi hadi jioni
Mtu anayejielewa lazima awe aware na matukio makubwa yanayotendeka duniani acha kujisifia ujinga.
 
Back
Top Bottom