Mkuu wa Kamandi ya Jeshi la Marekani Afrika afungua mazoezi ya kijeshi baina ya US na Tanzania

Chadema mnamatatizo sanaa..toka lini marekani akawa mlinzi wa haki na democrasia?? Ebu acheni bas uzwazwaa..yaan kisa gaidi namba moja yuko ndank baas mnapayuka payuka kuomba marekani awasaidie kwa mambo ya ndani ya nch zingine
Sasa mbona manawajaza kwenye vikosi vyenu?

Mbona na chanjo mmekopa kwao?
 
Mkakati wa Marekani ni kuzitawala nchi zote za dunia bila hizo nchi (watu walio wengi) kufahamu wanatawaliwa. If you're not free economically and politically and socially, you are just as timeserving as any other puppet nation in the world.
Na hiyo ndio inatia wasi wasi
 
Hata wa China nao wanaangalia masilahi yao ndio maana hai support democracy na wa Africa marais wanaipenda China vile haiingilii siasa za nchi wao ni kutoa mikopo na kutumia rasilimali za wa Africa vizuri tu. So hapo hamna nafuu, bora hata marekani wanao support democracy
 
Magu alikimbia mabeberu akadhani atafaidi kwa wachina kwa kuwa hawaingilii migogoro ya kisaisa ya watu. Kule akakuta karuka mkojo kadondokea mavi. Karudi pyaa!
 
Your knowledge on politics, to be polite, is horrible. The individuals who rule the US are just those who rule China and Russia and the rest of the world. Open your eyes!!!
You are so much empty headed in politics, in a mild say.
 
Your knowledge on politics, to be polite, is horrible. The individuals who rule the US are just those who rule China and Russia and the rest of the world. Open your eyes!!!
Go ahead and read this. It might be enlightening to your dark brain...
 
Unakumbuka vitangizi vitatu vya ukoloni afrika?

1. Wafanyabiashara
2. Wamisionari
3. Wapelelezi.

jifunze kubashiri yajayo usiwe na uoni wa karibu.

Kule Somalia na Ethiopia na hata Yemeni na Saudi Arabia mambo yalianza hivi hivi.
The history repeats itself. The guy don't know this. Perspective yako nakubaliana nayo 100 Kwa mia
 
Ukiona marekani wanakufagilia ujue umefanya kosa la uhaini mahali fulani kwa nchi yako...
 
Vita ipo katika kumiliki lango la afrika mashariki na kati pia,

Tanzania kijiografia imezungukwa na nchi kama nane hivi

Hivyo strategically ni eneo muhimu sana.

Baada ya kusikia mradi wa Bandari ya Bagamoyo naona nao wameamua kuja kuwin influence hapa.
 
mimi nilidhani ni baada ya kusikia Mbowe ni Gaidi😅😅
 
Your knowledge on politics, to be polite, is horrible. The individuals who rule the US are just those who rule China and Russia and the rest of the world. Open your eyes!!!
I agree with You. I have been thinking the same. Russia , US and China are very good friends.
 
Yes ule ubavu wa ccm kuibagaza US haupo tena. Maana hawana ushawishi tena kwa Raia. Bora waungane na makafiri
 
Sio mbaya sera ya nchi yetu ni kutofungamana na upande wowote kikubwa tunaangalia alama za nyakati.
 
Haaahaaaaa...Sababu gani sasa hivi hatuna misimamo? Au bei yetu inajulikana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…