Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,253
- 15,070
Kumekucha Israel kanza kuomba nchi za Jiran zimsemeshe Iran asiwashambulie. Vichaa kweli hawa Israel wanataka Iran wasirudishe mashambulizi hahaha nadhani Israel wameisha changan'yikiwa.
Mmmm!Kumekucha Israel kanza kuomba nchi za Jiran zimsemeshe Iran asiwashambulie. Vichaa kweli hawa Israel wanataka Iran wasirudishe mashambulizi hahaha nadhani Israel wameisha changan'yikiwa.
Walio na kelele ni Hawa pro Iran waliokalisha mapumbu nyuma ya keyboard humu ..ngoja tumuue kwanza KHUMANEIhii vita ina kelele sana hadi zinachosha. Si mmoja ampige mwenzake Nuke yaishe?
Tuna mambo mengi ya kufuatilia bana.
Tuliza makalio weeeh katekista!Walio na kelele ni Hawa pro Iran waliokalisha mapumbu nyuma ya keyboard humu ..ngoja tumuue kwanza KHUMANEI
leo ndo watafurahi mno, maana pakej inayokuja si mchezoWanangu wa Lebanon leo watakuwa wanafuatilia LIVE kwenye vibanda umiza.
View attachment 3368453
Nasikia vyuma kama buku hivi vimeandaliwa.leo ndo watafurahi mno, maana pakej inayokuja si mchezo
Kwa uandishi huu inaonekana umeshindia kahawa na kashata.Kumekucha Israel kanza kuomba nchi za Jiran zimsemeshe Iran asiwashambulie. Vichaa kweli hawa Israel wanataka Iran wasirudishe mashambulizi hahaha nadhani Israel wameisha changan'yikiwa.
Hawa wapuuzi ukiwashambullia tu ndani ya nchi yao wanalazimisha Vita visimame haraka waanze mazungumzo.Kumekucha Israel kanza kuomba nchi za Jiran zimsemeshe Iran asiwashambulie. Vichaa kweli hawa Israel wanataka Iran wasirudishe mashambulizi hahaha nadhani Israel wameisha changan'yikiwa.
Unashindana na mtu aliyekuulia Mkuu wa majeshi na Majenerali zaidi ya 20..mwisho anataka roho ya Ayatollah ! endelea na propaganda ukinywa kahawa huku mapunb umeyaficha kwenye musuli !
Wanangu wa Lebanon leo watakuwa wanafuatilia LIVE kwenye vibanda umiza.
View attachment 3368453Ha,ha,haaa, wapumbavu sana hawa jamaa, wanashangilia kama kuna mechi ya mpira au kuna mwanamuziki mbele yao!