Mkuu wa Kamati ya Usalama wa Taifa katika Bunge la Iran. Israel Anaomba Iran Isiwashambulie

Unashindana na mtu aliyekuulia Mkuu wa majeshi na Majenerali zaidi ya 20..mwisho anataka roho ya Ayatollah ! endelea na propaganda ukinywa kahawa huku mapunb umeyaficha kwenye musuli !
Mwanajesh kufa ni kawaida
 
Kumekucha Israel kanza kuomba nchi za Jiran zimsemeshe Iran asiwashambulie. Vichaa kweli hawa Israel wanataka Iran wasirudishe mashambulizi hahaha nadhani Israel wameisha changan'yikiwa.
Iran karibia inakuwa wazi, wayahudi wanakamilisha baadhi ya vitu hamtaona hata makombora kutoka Iran kwenda kwa Wayahudi.

Iran kakurupushwa ndo maana hata jana alikuwa na mpango wa kutuma makombora 1,000 kafanikisha kutuma 100+ kwa sababu wayahudi waliweza kupiga lunchers.

Kama wayahudi watafanikisa mipango yao, tutarajie Jamhuri ya Kiislam ya Iran kuanguka.
Tuombe isiwe hivyo kwani Iran itageuka , Syria, au Yemen nyingine maana wayahudi sasa wanapambana na vitega uchumi vya Iran ikiwemo Refinery.
 
Ndio mchungaji kawaambia hivyo kwenye Misa ya jioni?
 
Samahani kama wewe unasubiri habari kutoka kwa wachungaji mimi hapana.
Kimelipuliwa kiwanda cha gas, Refinery n.k. Israel ishajuchukua sehemu ya udhibiti wa anga ya Iran kutoka maguaribi hadi Tehran.
Achana na habari za vijiweni, fuatilia Al Jazeera utafaidika zaidi na utapunguza mihemko.
Asante
 
Iran karibia inakuwa wazi, wayahudi wanakamilisha baadhi ya vitu hamtaona hata makombora kutoka Iran kwenda kwa Wayahudi.

Iran kakurupushwa ndo maana hata jana alikuwa na mpango wa kutuma makombora 1,000 kafanikisha kutuma 100+ kwa sababu wayahudi waliweza kupiga lunchers.

Kama wayahudi watafanikisa mipango yao, tutarajie Jamhuri ya Kiislam ya Iran kuanguka.
Tuombe isiwe hivyo kwani Iran itageuka , Syria, au Yemen nyingine maana wayahudi sasa wanapambana na vitega uchumi vya Iran ikiwemo Refinery.
Hizo ni story za kanga we tulia kama leo Tela Aviv watalala
 
Kama kuna kitu cha kutuhabarisha, kwa nini usiandike kama mtu sensible unayeelewa unachotaka kuutaarifu umma wa JF. As it stands now, you story is a crap.
 
Back
Top Bottom