Mkuu wa Kamati ya Usalama wa Taifa katika Bunge la Iran. Israel Anaomba Iran Isiwashambulie

hii vita ina kelele sana hadi zinachosha. Si mmoja ampige mwenzake Nuke yaishe?

Tuna mambo mengi ya kufuatilia bana.
Walio na kelele ni Hawa pro Iran waliokalisha mapumbu nyuma ya keyboard humu ..ngoja tumuue kwanza KHUMANEI
 
Unashindana na mtu aliyekuulia Mkuu wa majeshi na Majenerali zaidi ya 20..mwisho anataka roho ya Ayatollah ! endelea na propaganda ukinywa kahawa huku mapunb umeyaficha kwenye musuli !
 
Makamanda wengine wawili wa Iran wameshatangulizwa, kitengo cha intelijensia, na cha 'operation'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…