Mkuu wa Majeshi Afrika Kusini amjibu Rais Kagame

Baada ya show!!
Kwa wanaoita hayo mapigano "show" wajue Tanzania ilikaa njaa miaka mitano baada ya 1979, tukapewa unga wa yanga na USA, petroli tulikuwa tunanunua kwa kibali na kwa foleni, na sabuni na sukari ni kwenye duka la kaya.

Majenerali wa USA ambao hawajawahi kushindwa vita wanasema hakuna mjeda anaependa vita. Na kitu kigumu kwa marais wao huwa wanasema ni kupeleka watoto wa watu vitani

Sasa sisi ambao tunaweza kusondekwa vitani kwa kikao kimoja cha Halmashauri Kuu tuendelee kuchekelea na kufanya mizaha kwenye mitandao. .
 
Hii

Ni kweli cheki baada y ndege kufanya yake kwa m23. Kisha wakakaguliwa walio kufa.
Ipo chini hapo.
KAZI ni kipimo cha UTU
Shambulizi lote hilo la ndege alafu nyasi hazijaungua bali zinaoneshwa maiti tu tena zenye majeraha usoni na mikononi.?🤣 Hivi unajua shambulio la bomu kazi yake ni kutawanya viungo?
 
Baada ya show!!
Na hii itakua game gani?
KAZI ni kipimo cha UTU
Hao walokufa mbona ni ngozi nyeupe na wamevaa trainers chini? Ile video game uliyoweka ni kama utitiri wa wanajeshi ulilipuliwa kwa wakati mmoja tungeona maiti deformed kabisa, umeunganisha kujaribu kuaminisha watu but it's a hoax.
 
 

Attachments

  • IMG_8743.jpeg
    261 KB · Views: 6
Kagame anaua vijana wake ni hatari jeshi la south Africa limeua kama sisimizi vijana wa m23. Naweka video yake hapa chini.
KAZI ni kipimo cha UTU
Kumbe South Africa wana A-10 warthog? Mana ndio imeonekana ikinya hapo
 
🤣🤣🤣🤣🤣👆🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hahahah!! Cheki ya pili baada ya ndege vita kufanya yake kwa m23. Kikosi cha nchi kavu kikaenda kuakiki maiti vitani.nimeweka hapo
KAZI ni kipimo cha UTU
Hao ni FARDC, angalia uniform na usikilize wanaoongea au nikutumie video ndefu yatukio ndio uamini .
 
Kagame anaua vijana wake ni hatari jeshi la south Africa limeua kama sisimizi vijana wa m23. Naweka video yake hapa chini.
KAZI ni kipimo cha UTU
Shida yangu kwenye hii video ni uhalisia wake. Je, sio video game hii? Kama mwendo ndio huo mbona vita ingeisha ndani ya masaa 24!
 
Jeshi la Congo kagame ameshapandikiza watu wengi. Ni jeshi lenye watu wanaouza mbinu sana. Ni sawa na Nigeria na Boko Haram..


Hata hapa Tanzania CDF aliwahi kusema Kuna wakimbizi wengi kwenye nafasi za kimaamuzi. Nenda kafuatilie alikuwa anamaanisha nini
 
Rafiki kuna jamaa hapo juu kakwambia hiyo video ya mwanzo inayo onesha A10 warthhog aircraft inashambulia wanajeshi ni ya zamani kuliko tukio lenyewe na ni from game " digital combati simulation"
 

Attachments

  • Screenshot_20250131_092532_Chrome.jpg
    190.5 KB · Views: 4
  • Screenshot_20250131_092607_Chrome.jpg
    244.8 KB · Views: 4
  • Screenshot_20250131_092630_Chrome.jpg
    218.7 KB · Views: 4
Sasa ipo video ya baada ya ndege vita kufanya maafa haya video ni yakuogopesha MNO. Naogopa ni hatari kuliko hatari yenyewe wamesagika.
KAZI ni kipimo cha UTU

Kagame anaua vijana wake ni hatari jeshi la south Africa limeua kama sisimizi vijana wa m23. Naweka video yake hapa chini.
KAZI ni kipimo cha UTU
Inatisha kama sio video game.
 
Kagame anaua vijana wake ni hatari jeshi la south Africa limeua kama sisimizi vijana wa m23. Naweka video yake hapa chini.
KAZI ni kipimo cha UTU
Aisee ni hatari sana, Kumbe ndo maana Kagame Sukari imepanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…