milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
Kama haliko kisiasa CDF anateuliwa na nani???Mkuu jeshi letu haliko kisiasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama haliko kisiasa CDF anateuliwa na nani???Mkuu jeshi letu haliko kisiasa.
Faida ni kwamba wanajeshi wanapata kazi maana tangu siku ile walivyomaliza kupigana na Idd Amin hawajawahi kupata kazi hadi wengine waliingia na kustaafu bila kupata kaziWanajeshi waliofia Congo ni wangapi?
Tanzania inapata faida Gani ya kupeleka wanajeshi wetu Congo ?
Asante kwa majibu mazuri!
Sasa,nisaidie nijue,Tanzania inapata faida Gani ya kupeleka wanajeshi wetu Congo ?
Asante kwa jibu nzuri,ninaomba unieleweshe, Tanzania inapata faida Gani ya kupeleka wanajeshi wetu Congo?
basi sawa nayeye kawasilishwa vita havina machoMkuu umekosa uzalendo. Kumbuka huyu ni kijana wetu kaiwakilisha nchi yetu. Asante Jenerali Joseph Nkunda kwa kuitembelea na kuwafariji familia ya kijana wetu.
Nawachukia sana M23
atakuwa anapigia mchapuo udcKwa nini amemtembelea wa Zanzibar na kumwacha yule wa mwanza?Au ndiyo kujipendekeza kwa Samia ili aonekane anawajali sana wazanzibar.M23 ni moto wa kuotea mbali,waache kujipeleka kimbelembele wataisha wote.
..Jenerali Jacob Mkunda alipokwenda kutoa pole kwa familia ya marehemu Sajent Mohamed Abdala Suleiman.
===
"Mishoni mwa mwaka uliopita (2024) kikundi cha vijana wenye silaha wakijiita M23 walianza chokochoko na kuharibu kabisa amani ya mashariki mwa nchi ya Kongo. Kwahiyo vita ilitokea mnamo January 23, vijana wetu walipigana katika jukumu la kuwasaidia wenzao wa Kongo kurejesha amani mashariki mwa nchi ya kongo. Kwa bahati mbaya sana katika mapigano hayo tulipoteza vijana wawili katika kikosi cha Tanzania pekee, akiwemo kijana wetu Sajenti Mohamed Abdallah Suleiman. Yupo na mwingine private John ambay yeye anatokea kanda ya Mwanza."- General Jacob Mkunda, CDF Tanzania
Soma pia Askari wawili JWTZ wafariki dunia, wanne wajeruhiwa mashambulizi ya M23 huko Goma, DRC
View: https://www.youtube.com/watch?v=rbFHQBDmQ_o&t=45s
Kama walionekana hawana kazi,kwanini wasiunganishwe na JKT,waingie kwenye kilimo!Faida ni kwamba wanajeshi wanapata kazi maana tangu siku ile walivyomaliza kupigana na Idd Amin hawajawahi kupata kazi hadi wengine waliingia na kustaafu bila kupata kazi
Wale wakata viuno na kupaka mikorogo, huwa wanakodisha hadi silaha kwa waasi na vikundi vya uhalifu.Hivi Congo hawana jeshi la kujilinda mpaka kutegemea wanajeshi kutoka nchi nyingine?
Pesa mkuu, na hapo ukirudi salama inabidi umkatie cha juu msimamizi/ mkuu wako aliyefanya zengwe Hadi jina lako likapita! Zinazobaki ukanunue ki Subaru chako used, sio used ya Japan, used ya hapa Tanganyika nyingine ukajenge Ka nyumba Kako, nchi ngumu Sana hii!Kwanini Jeshi haliwapeleki Brigedia Jenerali wengi,kupigana vita, badala yake wanawapeleka masajenti vitani?
Kupata uzoefu wa kivita za kimataifaWanajeshi waliofia Congo ni wangapi?
Tanzania inapata faida Gani ya kupeleka wanajeshi wetu Congo ?
Hakuna kurudisha amani hapo issue ni kwamba, Saa100 anamlinda mwenzake na ili likitokea la kutokea kwa Saa100 naye aweze kuja kumlindwa..majirani zetu wakiwa na amani na maendeleo tunafaidika kwa kuchangamana na kushirikiana nao ktk shughuli za kijamii na kiuchumi.
..kwa mfano, amani iliyoko nchini Kenya imewezesha uwepo wa biashara kubwa kati ya Tanzania na Kenya.
..tunapopeleka askari DRC lengo letu ni kurudisha amani kwa majirani na ndugu zetu ili tuweze kushirikiana kijamii, na kiuchumi, na kupelekea faida kwa pande zote.
huo ni mchango katika umoja wa mataifa (UN), kuchangia kuwepo kwa amani Afrika ya Kati.Asante kwa majibu mazuri!
Sasa,nisaidie nijue,Tanzania inapata faida Gani ya kupeleka wanajeshi wetu Congo ?
Asante kwa jibu nzuri,ninaomba unieleweshe, Tanzania inapata faida Gani ya kupeleka wanajeshi wetu Congo?
Kwa hiyo isipotokea vita popote Africa kwa miaka 30 tangu sasa JWTZ Watafanya kazi Gani?Kupata uzoefu wa kivita za kimataifa
Ulitaka wakae tu siku tukivamiwa itakuwaje na uzoefu hawana
Japan haina wanajeshi na hakuna vita! Amani ni kubwa kuliko.huo ni mchango katika umoja wa mataifa (UN), kuchangia kuwepo kwa amani Afrika ya Kati.
Sijui kama unakumbuka mauaji ya Rwanda ya 1994 na athari yake kwa Tanzania? Vita ikitokea nchi moja athari yake inakuwa kwa nchi za jirani pia kwani hupokea wakimbizi kwa wingi.
Rwanda, Burundi, Congo.....
na hapo awali ilikuwa ni nchi zinazogombea uhuru - Mozambique, Zimbabwe, South Africa, Namibia, Angola...
M23 hajawapoteza watu? Hii ni vita , toka miaka na miaka vita yoyote huondoka na maisha ya watu.
So dont talk as if M23 ni special sana, life will be lost ni nature ya vita
Hili kundi,linaishi kwa kufanya kazi Gani, wanakula wapi? Wana mpango Gani kuhusu maisha Yao?wataoa lini na wataolewa lini?Wameajiriwa wapi? Wamesomea nini? Hili ni janga jingine!huo ni mchango katika umoja wa mataifa (UN), kuchangia kuwepo kwa amani Afrika ya Kati.
Sijui kama unakumbuka mauaji ya Rwanda ya 1994 na athari yake kwa Tanzania? Vita ikitokea nchi moja athari yake inakuwa kwa nchi za jirani pia kwani hupokea wakimbizi kwa wingi.
Rwanda, Burundi, Congo.....
na hapo awali ilikuwa ni nchi zinazogombea uhuru - Mozambique, Zimbabwe, South Africa, Namibia, Angola...
Naomba nikuambie una maswali ya ki$ng$ sana..Kwa hiyo isipotokea vita popote Africa kwa miaka 30 tangu sasa JWTZ Watafanya kazi Gani?
Naomba nikuambie una maswali ya ki$ng$ sana..
Wewe sio mtanzania, ni mtutsi wa m23 kutoka kigali.Waiache DRC.
Hayo wameyataka wao wenyewe.
Tumekuwa tukishauri Sana hapa mtandaoni kwamba Wanajeshi wa nchi yetu warudi nyumbani ili waje kuimarisha ulinzi kwenye mipaka ya nchi yetu hii, lakini inavyoonekana Watawala wa nchi hawataki kusikia ushauri wetu huo. Matokeo yake ndio haya sasa.
Maandiko matakatifu yanasema kwamba "Aonywaye Mara nyingi naye hushupaza shingo, huvunjika ghafla na hakuna dawa tena."
(Mithali 29: 1)
Kama ni suala la Kulinda Amani, basi Jeshi linapaswa kupeleka Wanajeshi wake katika nchi za mbali, lakini siyo kwenda kulinda amani katika nchi ambazo ni majirani zetu. Hii ni hatari kubwa sana kwa Usalama wa nchi. Wanajeshi Wapiganaji wa Vikosi vya Kulinda amani vinapaswa kupelekwa katika nchi za mbali huko Kama vile kwa mfano Pakistan, Lebanon, Mynmar, Haiti, n.k.
All in all, Wanajeshi wetu wanapaswa kupelekwa kwenda kulinda amani katika nchi zingine lakini muda wote kabisa wanapaswa wasimame katika Upande wa HAKI. Wasiende huko ili kwenda kuwatetea au kuungana na Watawala wa huko ambao ni Wadhalimu. Ujumbe wa Kulinda Amani usititumwe ili kwenda kusaidia au kuungana na upande wa Wadhalimu.
Daima Tukumbuke kwamba 'ukiungana na Wadhalimu basi tambua kwamba Wapenda HAKI hawatakuwa upande wako.'