Mkuu wa Majeshi aitembelea familia ya Sajent Mohamed Abdala Suleiman aliyefariki DRC

Mkuu wa Majeshi aitembelea familia ya Sajent Mohamed Abdala Suleiman aliyefariki DRC

Huyu jamaa yenu ndiye aliyesema kuna wakimbizi kwenye ofisi za umma sio? Mbona jina lake naye linatumika kwa wanyarwanda na warundi.Mkunda...Nkunda....gukunda(nakupenda)

Kazi mnayo watanzania
 
Kama walionekana hawana kazi,kwanini wasiunganishwe na JKT,waingie kwenye kilimo!
Kwanini wasibuni viwanda vyao!
KAZI ni kwenda kupigana TU?
Kule unapigana huku unalipwa,ukibahatika kurudi salama,unasumbua kitaa kwa maokoto.Congo ilikua salama,sema saa hizi M23 wamechachamaa,kumekua hatari,hivyo kuwapa wasiwasi wanaoenda kukabiliana nao.
 
Huyu jamaa yenu ndiye aliyesema kuna wakimbizi kwenye ofisi za umma sio? Mbona jina lake naye linatumika kwa wanyarwanda na warundi.Nkunda....gukunda(nakupenda)

Kazi mnayo watanzania
CCM ni janga!! Bila M23 nao hatatoka madarakani.

Kwa hali halisi M23 inatakiwa waongezewe nguvu na tuwaombee,wakimaliza kazi Yao,huko Congo,wahamie huku kwetu.
 
Attachments

  • IMG-20250305-WA0007.jpg
    IMG-20250305-WA0007.jpg
    137.3 KB · Views: 1
Kama haliko kisiasa CDF anateuliwa na nani???
Kuna watu huwa wanashangaza sana utasikia jeshi siku hizi limeingiliwa na wanasiasa. Wasichokijua tu ni kwamba jeshi na siasa ni sawa na pande 2 za sarafu. Pia ni wanasiasa wenye maamuzi ya jeshi lifanyie Nini Kwa kipindi Gani!
 
Kule unapigana huku unalipwa,ukibahatika kurudi salama,unasumbua kitaa kwa maokoto.Congo ilikua salama,sema saa hizi M23 wamechachamaa,kumekua hatari,hivyo kuwapa wasiwasi wanaoenda kukabiliana nao.
Kongo kw jeshi letu hakuna kupigana . Ni kulinda amani.
 
Huyu jamaa yenu ndiye aliyesema kuna wakimbizi kwenye ofisi za umma sio? Mbona jina lake naye linatumika kwa wanyarwanda na warundi.Mkunda...Nkunda....gukunda(nakupenda)

Kazi mnayo watanzania
Aliyetoa tamko hilo ni yeye mwenyewe mkuu wa majeshi Mkunda

Huyo mkuu wa majeshi Mkunda kabila lake ni mpogoro wa Morogoro tena anatokea ukoo wa kichifu
 
Hivi Congo hawana jeshi la kujilinda mpaka kutegemea wanajeshi kutoka nchi nyingine?
Muda wote wanakata mauno na kujichubua
Na nchi fulani inaelekea huko huko kama kongo kiwa

Ova
 
Back
Top Bottom