Mkuu wa Majeshi aitembelea familia ya Sajent Mohamed Abdala Suleiman aliyefariki DRC

Mkuu wa Majeshi aitembelea familia ya Sajent Mohamed Abdala Suleiman aliyefariki DRC

Kama ni suala la Kulinda Amani, basi Jeshi linapaswa kupeleka Wanajeshi wake katika nchi za mbali, lakini siyo kwenda kulinda amani katika nchi ambazo ni majirani zetu. Hii ni hatari kubwa sana kwa Usalama wa nchi. Wanajeshi Wapiganaji wa Vikosi vya Kulinda amani vinapaswa kupelekwa katika nchi za mbali huko Kama vile kwa mfano Pakistan, Lebanon, Mynmar, Haiti, n.k.
Wewe utakuwa mnyarwanda tena yule mpumbavu hasa sio anayejitambua

Shukrani ya punda natek
Nyie wanyarwanda tumewahifadhi hspa Tanzania miaka nenda rudi na kuwalinda kwa gharama za kodi zetu

Kwa hiyo wakati mnauana wenyewe kwa wenyewe mkakaikimbia tungewaambia msikimblie nchi jirani kwetu tungewakimbiza mwende nchi za mbali huko?

Raisi Kagame amewahi Lalamika sana tu kuwa jumuiya ya kimataifa haikuchukua hatua wakati wa mauaji ya kimbari nchini Rwanda wakati watusi na wahutu wanatwangana ndani ya Rwanda alitarajia majeshi ya kimataifa yaingie Rwanda kukomesha mapigano

Congo kuna mapigano ya ndani ya kongo wawe wakongo kwa wakongo wanapigans wenyewe kwa wenyewe jumuiya ya kimataifa ikiwemo Tanzania ina haki ya kuingilia kati kulinda raia wasio na hatia na kuepusha mauaji ya kimbari ya wao kuuana

Kama Rwanda ilihitaji majeshi ya kimataifa kuingilia kati mgogoro wao wa ndani wa mapigano ya kikabila kwa nini kwa kongo iwe marufuku?

Wewe una roho ya kishetani ya mauaji ya kimbari
 
Una ujinga uliokubuhu unawaza vitu hewani vya kuota
Taja nchi.yeyote duniani ambayo mkuu wake wa majeshi hateuliwi na Raisi
Kwa Demokrasia Halisi na ya Kweli!

Demokrasia ni dhana pana inayohusisha utawala wa watu, uhuru wa kujieleza, na ushiriki wa raia katika mchakato wa kisiasa. Hata hivyo, kuna mifano mingi ya nchi ambapo demokrasia haijatekelezwa ipasavyo.

Kimoja kati ya vitu vinavyokwamisha demokrasia halisi ni pale kiongozi wa nchi anapokuwa na mamlaka makubwa yasiyo na ukomo, kama vile Rais ambaye pia ni mwenyekiti wa chama tawala.

Katika mazingira kama haya, kuna hatari ya kutoweka kwa uwajibikaji na ufanisi katika utawala.

Katika nchi nyingi, Rais anapokuwa pia mwenyekiti wa chama tawala, inamaanisha kuwa anaweza kutumia nguvu zake za kisiasa kuimarisha nafasi yake, na hivyo kuondoa uhalali wa upinzani.

Hii ni tofauti na dhana ya demokrasia ambapo kuna ushirikishwaji wa vyama mbalimbali na uwazi katika mchakato wa uchaguzi.

Katika hali hii, upinzani unakuwa dhaifu, na raia wanakosa fursa ya kuwakilishwa vizuri katika serikali.

Mbali na hayo, kumteua mkuu wa majeshi ni hatua nyingine inayoweza kuathiri demokrasia.

Katika nchi ambapo Rais anakuwa na mamlaka ya moja kwa moja ya kuteua viongozi wa jeshi, kuna hatari ya jeshi kuwa chombo cha kisiasa badala ya kuwa na jukumu la kulinda nchi.

Hii inaweza kupelekea matumizi mabaya ya nguvu na ukandamizaji wa haki za binadamu, kwani jeshi linaweza kutumika kudhibiti upinzani wa kisiasa.

Katika mazingira kama haya, ni muhimu kuangalia mifano ya demokrasia halisi ili kuelewa jinsi inavyoweza kufanikiwa.

Nchi ambazo zimefanikiwa katika kuimarisha demokrasia zimejenga mifumo ya uwajibikaji, ambapo viongozi wanawajibika kwa raia na kuna mgawanyo wa mamlaka.

Mifumo hii inajumuisha kutenganisha madaraka kati ya serikali, bunge, na mahakama, ili kuhakikisha kuwa hakuna kiongozi anayeweza kutumia mamlaka yake vibaya.

Demokrasia halisi inahitaji pia uhuru wa vyombo vya habari na haki ya kujieleza.

Hii inawapa raia nafasi ya kuangalia utendaji wa serikali na kutoa maoni yao bila hofu. Katika nchi ambapo vyombo vya habari vinakandamizwa, ni vigumu kwa raia kujua kinachoendelea na hivyo wanashindwa kushiriki kikamilifu katika mchakato wa kisiasa.

Pia, ni muhimu kuwa na mfumo wa uchaguzi huru na wa haki. Uchaguzi wa wazi unawapa raia fursa ya kuchagua viongozi wao kwa hiari, bila kuingiliwa na mamlaka. Hii inajenga uaminifu kati ya wananchi na viongozi wao na inawapa raia hisia ya umiliki katika mchakato wa kisiasa.

Katika dunia ya leo, tunahitaji kuimarisha demokrasia halisi na ya kweli ili kuhakikisha kuwa kila raia anashiriki katika utawala wa nchi yake.

Hii inahitaji jitihada za pamoja kutoka kwa serikali, vyama vya siasa, na raia wenyewe. Kwa kuimarisha uwajibikaji, uhuru wa vyombo vya habari, na haki za binadamu, tunaweza kujenga mazingira yenye demokrasia inayoweza kudumu na kuleta maendeleo katika jamii.

Kwa hivyo, ni jukumu letu sote kuhakikisha kuwa tunatetea demokrasia halisi. Hatuwezi kuendelea kukubali mifumo ya utawala ambayo inakandamiza haki na uhuru wa raia. Ni lazima tuwe na ujasiri wa kupinga vitendo vya ukandamizaji na kutafuta mabadiliko chanya katika utawala wa nchi zetu.

Kwa kumalizia, demokrasia halisi ni mchakato wa kuimarisha ushirikishwaji wa raia, uwajibikaji wa viongozi, na kutenganisha madaraka. Huu ndio msingi wa utawala bora ambao utaleta maendeleo endelevu na ustawi wa jamii.

Kwa hivyo, tunahitaji kuungana katika kutafuta demokrasia ya kweli, ambayo itawapa kila mwananchi sauti na fursa ya kuamua mustakabali wa nchi yao. Hii ni dhamira ya kila mmoja wetu, na ni wajibu wetu kuhakikisha kuwa tunaitetea na kuisimamia.
 
Kwanini Jeshi haliwapeleki Brigedia Jenerali wengi,kupigana vita, badala yake wanawapeleka masajenti vitani?
Brigadier umri umekwenda, wanaopigana vita ni kanali kushuka chini.
 
Shotocan umeandikiwa gazeti la Democrasia😂😂😂😂

Kumbe alikuwa na dukuduku lake ase, loh!

Ndio umejibiwa.
 
Kwa nini amemtembelea wa Zanzibar na kumwacha yule wa mwanza?Au ndiyo kujipendekeza kwa Samia ili aonekane anawajali sana wazanzibar.M23 ni moto wa kuotea mbali,waache kujipeleka kimbelembele wataisha wote.
Na kapeleka rambi rambi kutoka kwa Raisi, je na yule wa Mwanza na yeye familia yake imepewa rambi rambi au kwasababu siyo Mzanzibar mwenzie
 
Aliyetoa tamko hilo ni yeye mwenyewe mkuu wa majeshi Mkunda

Huyo mkuu wa majeshi Mkunda kabila lake ni mpogoro wa Morogoro tena anatokea ukoo wa kichifu
Basi sawa sema hili jina hadi huku kwa warundi na wanyarwanda linatumika vizuri nisijue kama kuna mwingiliano wa haya majina ya kibantu
 
Na kapeleka rambi rambi kutoka kwa Raisi, je na yule wa Mwanza na yeye familia yake imepewa rambi rambi au kwasababu siyo Mzanzibar mwenzie
Hata mimi imenistua kidogo.....sikumbuki matukio kama haya kuona au kusikia CDF mwenyewe anakwenda nyumbani kwa mfiwa kwa maelekezo ya rais. Anyway....
Niliona na ndugu wa marehemu anamuombea kazi ndugu yake ambaye yuko Kigoma, sijui aingizwe jeshini au vipi! ili asaidie familia
 
Waiache DRC.


Hayo wameyataka wao wenyewe.

Tumekuwa tukishauri Sana hapa mtandaoni kwamba Wanajeshi wa nchi yetu warudi nyumbani ili waje kuimarisha ulinzi kwenye mipaka ya nchi yetu hii, lakini inavyoonekana Watawala wa nchi hawataki kusikia ushauri wetu huo. Matokeo yake ndio haya sasa.

Maandiko matakatifu yanasema kwamba "Aonywaye Mara nyingi naye hushupaza shingo, huvunjika ghafla na hakuna dawa tena."
(Mithali 29: 1)

Kama ni suala la Kulinda Amani, basi Jeshi linapaswa kupeleka Wanajeshi wake katika nchi za mbali, lakini siyo kwenda kulinda amani katika nchi ambazo ni majirani zetu. Hii ni hatari kubwa sana kwa Usalama wa nchi. Wanajeshi Wapiganaji wa Vikosi vya Kulinda amani vinapaswa kupelekwa katika nchi za mbali huko Kama vile kwa mfano Pakistan, Lebanon, Mynmar, Haiti, n.k.

All in all, Wanajeshi wetu wanapaswa kupelekwa kwenda kulinda amani katika nchi zingine lakini muda wote kabisa wanapaswa wasimame katika Upande wa HAKI. Wasiende huko ili kwenda kuwatetea au kuungana na Watawala wa huko ambao ni Wadhalimu. Ujumbe wa Kulinda Amani usititumwe ili kwenda kusaidia au kuungana na upande wa Wadhalimu.

Daima Tukumbuke kwamba 'ukiungana na Wadhalimu basi tambua kwamba Wapenda HAKI hawatakuwa upande wako.'
Wewe ni mtu mjinga sana..
Pengine ndio wale wahamiaji haramu tubaowapigia kelele kila siku...

Hakuna kitu unajua kuhusu Tanzania na hiyo empty brain yako..

Siku zote toka Uhuru Tanzania ndio kinara wa ukombozi SADC...

Sio jana wala juzi watanzania wanapoteza damu zao kuijenga amani ya majirani zetu na kwetu wenyewe.. na ndie most trusted allies wa SADC..

Hizi espionage mnazoleta sasa ni za muda tu.. ngoja pachangamke tupeleke combania nzima kama hiyo Rwanda itakuwepo na uchumi wake wa kuunga unga
 
Mpaka sasa wamekufa vijana zaidi ya 700 wa RDF, wamezikwa kwenye makabuli ya wanajeshi kimya kimya, baada ya General Kagame kupiga marufuku familia zao kusema chochote, huku akiwaahidi kwamba Their Sacrifice Will Not Be In Vain.

Ni suala la muda tu.
Kimya kimya ila wewe umejua ni 700
 
Alikuwa Mwanajeshi aliyekwenda vitani, Mwanajeshi anapewa heshima ya kijeshi akifa hasa front line.

Kwa mujibu wa Sheria marehemu ana stahiki zake kama wafanyakazi wengine, labda kama kuna malimbikizo risk allowances na life insurance.
 
Back
Top Bottom