Seth saint
JF-Expert Member
- Oct 27, 2020
- 1,115
- 2,464
Kule unapigana huku unalipwa,ukibahatika kurudi salama,unasumbua kitaa kwa maokoto.Congo ilikua salama,sema saa hizi M23 wamechachamaa,kumekua hatari,hivyo kuwapa wasiwasi wanaoenda kukabiliana nao.Kama walionekana hawana kazi,kwanini wasiunganishwe na JKT,waingie kwenye kilimo!
Kwanini wasibuni viwanda vyao!
KAZI ni kwenda kupigana TU?
hahaha hata watawala wakiona hi sms watakudharau sanaMkuu jeshi letu haliko kisiasa.
CCM ni janga!! Bila M23 nao hatatoka madarakani.Huyu jamaa yenu ndiye aliyesema kuna wakimbizi kwenye ofisi za umma sio? Mbona jina lake naye linatumika kwa wanyarwanda na warundi.Nkunda....gukunda(nakupenda)
Kazi mnayo watanzania
Tuna wanajeshi hadi LebanonKwa hiyo isipotokea vita popote Africa kwa miaka 30 tangu sasa JWTZ Watafanya kazi Gani?
Kuna kijana mmoja JWTZ,aliwadanganya wakwe zake,kuwa anakwenda Israel kupigana vita😂Tuna wanajeshi hadi Lebanon
Operation nyingi za kivita za kimataifa nje ya Africa huwa tunashiriki
Ukweli mchungu huwa una kawaida ya kuchoma Sana rohoni.Wewe sio mtanzania, ni mtutsi wa m23 kutoka kigali.
We ni mbumbumbu kiwango Cha lamiKwanini Jeshi haliwapeleki Brigedia Jenerali wengi,kupigana vita, badala yake wanawapeleka masajenti vitani?
Alitaka kuchukua pointing kwamba ni kamanda Hadi anaenda kupigana huko vitani IsraelKuna kijana mmoja JWTZ,aliwadanganya wakwe zake,kuwa anakwenda Israel kupigana vita😂
We ni mbumbumbu kiwango Cha lami
Kuna watu huwa wanashangaza sana utasikia jeshi siku hizi limeingiliwa na wanasiasa. Wasichokijua tu ni kwamba jeshi na siasa ni sawa na pande 2 za sarafu. Pia ni wanasiasa wenye maamuzi ya jeshi lifanyie Nini Kwa kipindi Gani!Kama haliko kisiasa CDF anateuliwa na nani???
Kongo kw jeshi letu hakuna kupigana . Ni kulinda amani.Kule unapigana huku unalipwa,ukibahatika kurudi salama,unasumbua kitaa kwa maokoto.Congo ilikua salama,sema saa hizi M23 wamechachamaa,kumekua hatari,hivyo kuwapa wasiwasi wanaoenda kukabiliana nao.
Kama haliko kisiasa CDF anateuliwa na nani???
Ndio huo ukweli sasa. Jikubali tu kuwa wewe ni mtutsi wa kigali na Tanzania hakuna kabila hilo na Congo DR haiwataki pia.Ukweli mchungu huwa una kawaida ya kuchoma Sana rohoni.
Tuvumilie!
Aliyetoa tamko hilo ni yeye mwenyewe mkuu wa majeshi MkundaHuyu jamaa yenu ndiye aliyesema kuna wakimbizi kwenye ofisi za umma sio? Mbona jina lake naye linatumika kwa wanyarwanda na warundi.Mkunda...Nkunda....gukunda(nakupenda)
Kazi mnayo watanzania
Muda wote wanakata mauno na kujichubuaHivi Congo hawana jeshi la kujilinda mpaka kutegemea wanajeshi kutoka nchi nyingine?
Mkuu ni Gen. Jacob John MkundaMkuu umekosa uzalendo. Kumbuka huyu ni kijana wetu kaiwakilisha nchi yetu. Asante Jenerali Joseph Nkunda kwa kuitembelea na kuwafariji familia ya kijana wetu.
Nawachukia sana M23
KenyaUna ujinga uliokubuhu unawaza vitu hewani vya kuota
Taja nchi.yeyote duniani ambayo mkuu wake wa majeshi hateuliwi na Raisi
Rais wa hizo nchi anakuwa sio Mwenyekiti wa chama Tawala!Una ujinga uliokubuhu unawaza vitu hewani vya kuota
Taja nchi.yeyote duniani ambayo mkuu wake wa majeshi hateuliwi na Raisi