bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 7,794
- 7,551
Unalinganisha Japan na nchi za Africa? Kasome historia uone jinsi Japan ilivyokuwa mvamizi wa nchi za watu (China na East Asia) mpaka walipokumutwa atomic bombs mbili ndiyo wakawa wapoleJapan haina wanajeshi na hakuna vita! Amani ni kubwa kuliko.
Kwani hao wanajeshi wengine huwa wanayafanya saa ngapi hayo uliyoulizia?Hili kundi,linaishi kwa kufanya kazi Gani, wanakula wapi? Wana mpango Gani kuhusu maisha Yao?wataoa lini na wataolewa lini?Wameajiriwa wapi? Wamesomea nini? Hili ni janga jingine!
Sio bange bali huo ndio ukweliAkili za bange hizi
DuhMkuu jeshi letu haliko kisiasa.
Wewe ni CCM?Mkuu umekosa uzalendo. Kumbuka huyu ni kijana wetu kaiwakilisha nchi yetu. Asante Jenerali Joseph Nkunda kwa kuitembelea na kuwafariji familia ya kijana wetu.
Nawachukia sana M23
Hakuna kurudisha amani hapo issue ni kwamba, Saa100 anamlinda mwenzake na ili likitokea la kutokea kwa Saa100 naye aweze kuja kumlindwa
..Jenerali Jacob Mkunda alipokwenda kutoa pole kwa familia ya marehemu Sajent Mohamed Abdala Suleiman.
===
"Mishoni mwa mwaka uliopita (2024) kikundi cha vijana wenye silaha wakijiita M23 walianza chokochoko na kuharibu kabisa amani ya mashariki mwa nchi ya Kongo. Kwahiyo vita ilitokea mnamo January 23, vijana wetu walipigana katika jukumu la kuwasaidia wenzao wa Kongo kurejesha amani mashariki mwa nchi ya kongo. Kwa bahati mbaya sana katika mapigano hayo tulipoteza vijana wawili katika kikosi cha Tanzania pekee, akiwemo kijana wetu Sajenti Mohamed Abdallah Suleiman. Yupo na mwingine private John ambay yeye anatokea kanda ya Mwanza."- General Jacob Mkunda, CDF Tanzania
Soma pia Askari wawili JWTZ wafariki dunia, wanne wajeruhiwa mashambulizi ya M23 huko Goma, DRC
Kwani akina SATIVA siyo vijana wa Tanganyika?Mkuu umekosa uzalendo. Kumbuka huyu ni kijana wetu kaiwakilisha nchi yetu. Asante Jenerali Joseph Nkunda kwa kuitembelea na kuwafariji familia ya kijana wetu.
Nawachukia sana M23
Hao yuvisisiemu kumbe walifariki wabeee tu!
Huyo ni Mkagulu wa Gairo buana.Aliyetoa tamko hilo ni yeye mwenyewe mkuu wa majeshi Mkunda
Huyo mkuu wa majeshi Mkunda kabila lake ni mpogoro wa Morogoro tena anatokea ukoo wa kichifu
Wewe ni Chadema?..askari wetu ni waadilifu.
..tatizo letu ni raia / wanasiasa / wanaCcm waliopewa dhamana ya kuwasimamia.
..tuwalaumu wanasiasa wetu, na sio askari wetu.
Wewe ni Chadema?
Jeshi la sokuhizi lina wapa ajira vijana ili kuzisaidia familia zao na siyo nchi, ndiyo maana tuna askari wa ajabu ajabu tu.Hata mimi imenistua kidogo.....sikumbuki matukio kama haya kuona au kusikia CDF mwenyewe anakwenda nyumbani kwa mfiwa kwa maelekezo ya rais. Anyway....
Niliona na ndugu wa marehemu anamuombea kazi ndugu yake ambaye yuko Kigoma, sijui aingizwe jeshini au vipi! ili asaidie familia
Ndugu yangu kwa kifupi inauma sana, unaposema awe mzalendo unafikiri ni mbongo huyo? Moyo unaumia mno kuna pahala pamevuja vibaya mno mno tenaππππMkuu umekosa uzalendo. Kumbuka huyu ni kijana wetu kaiwakilisha nchi yetu. Asante Jenerali Joseph Nkunda kwa kuitembelea na kuwafariji familia ya kijana wetu.
Nawachukia sana M23
Ndugu yangu kwa kifupi inauma sana, unaposema awe mzalendo unafikiri ni mbongo huyo? Moyo unaumia mno kuna pahala pamevuja vibaya mno mno tenaππππ