Mzee Wa Republican
JF-Expert Member
- Jul 20, 2013
- 1,666
- 847
Daah . . . . nchi nyingine zimestaarabika sana. Yaani mkuu wa majeshi anaomba radhi wananchi? mmmhhh sio Africa aiseeAlisema: "Sikustahili kuwa hapo. Uwepo wangu hapo wakati wa tukio hilo ilionesha taswira kwamba majeshi yanajihusisha na siasa za ndani ya nchi.
"Kama afisa mkuu wa majeshi ilikuwa makosa na nimepata funzo, natumai nimejifunza kutokana na tukio hilo."
Jenerali Milley aliongeza kusema: "Lazima tuhakikishe tunatenganisha jeshi letu na siasa ilituendelee kudumisha sifa yetu."
Huku bado tupo gizaniDaah . . . . nchi nyingine zimestaarabika sana. Yaani mkuu wa majeshi anaomba radhi wananchi? mmmhhh sio Africa aisee
Aisee..! Yaani huyo kamanda hawajibiki kwa Rais au?Naam, ndivyo ilivyo kwa nchi zinazoheshimu Katiba. Kiapo cha mwanajeshi ni utii kwa Katiba na si utii kwa Rais.
Mohamed Morsi rais wa Misri alikosa ushawishi jeshini. Raia walipoanzisha maandamano jeshi likalinda raia dhidi ya serikali.Sijui unamaanisha nini unaposema ,, Trump amekosa ushawishi” kwenye Majeshi, D.Trump ni Raisi wa USA na commander in chief wa US military, sasa sielewi unachomaanisha, ...
Trump is not a war monger,ameondoa majeshi Syria na amekata budget ya kupigana vita Afghanistan.Kitendo cha kuondoa majeshi Syria walitofautiana sana ma Jim Matis hadi kupelekea kumwambia ajiuzulu.Trump sera yake ni kupunguza globalism na kutumia fedha kulijenga upya jeshi la USA,Kama unakumbuka obama alipunguza sana budget ya Jeshi na hata idadi pia..Sasa sera hii imefanya baadhi ya majenerali kutofautiana nae sana,Labda Joint Chief Chairman Gen Mike Milley nae inawezekana hakubaliani na baadhi ya Sera Za Trump...Ila in politics hayo ni mambo ya kawaida na yana muda pia...Huyo ni four star general. Ukiona hivyo ujue Trump amekosa ushawishi na utashi. Juzi niliona Collin Powell akiunga mkono jeshi kutomkubali Trump hasa baada ya kuruhusu National guard mitaani.
Ukiona hivyo ujue Trump hana ushawishi wa kisiasa, utashi, uwajibikaji au uzalendo kwa raia wake. Ingekuwa nchi za dunia ya tatu Trump would have been no more.
Mohamed Morsi rais wa Misri alikosa ushawishi jeshini. Raia walipoanzisha maandamano jeshi likalinda raia dhidi ya serikali.
Sijamaanisha ulichosema hapa. Ninachomaanisha Trump kakosa ushawishi siyo kwamba kakosa amri.Kwa hiyo unamaanisha Jeshi la USA halichukui Amri kutoka kwa Raisi D.Trump? Isitoshe unafananisha Misri na USA?
Sijamaanisha ulichosema hapa. Ninachomaanisha Trump kakosa ushawishi siyo kwamba kakosa amri.