James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 8,759
- 14,831
Mbona unamtetea beberu sanaTofauti ni nini? Bado sijaelewa unachomaanisha unaweza kufanunua kama ukipenda, kama ni commander in chief US Military ana anaweza practice power yake muda wowote ule kwa mujibu wa Katiba ya USA, ni kipi kingine anataka kama Commander in Chief ? Huo ushawishi unaoungelea ni upi na unaathiri vipi majukumu ya Commander in chief?