Mkuu wa Majeshi akikataa wito wa Mahakama, mtamfanya nini?

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Inadaiwa Mkuu wa JWTZ CDF Mkunda, hajapendezwa na kuitwa kwake Mahakamani.

Wote tunajua Jeshi letu lilivyo na kashifa miaka nenda rudi. Kwanza tutamuuliza kama anaumizwa na ufisaidi. Na kama alimfuatilia Luteni Jenerali Abdulrahman Mgonja Shimbo.

Je, kama kweli akikataa wito wa mahakama Kuu, nini kutafuata?
 
Ila hao wakuu wote walioitwa Mahakamni ni Watupu kichwani.. Unajua bi Msumi hawezi chagua mtu smart ..Lazima achague ronya ili aweze mpelekesha vizuri... Mtu Smart asingeweza pokea amri za kuua maelfyu ya Raia wake ******* vile......
Narudia tena kungekua mtu smart kati yao hao yale mauaji kamwe yasingetokea..
 
Kwenye mauaji huko ni mbali sana. Shida ilianzia kwenye kukubali hizo teuzi wakati unajua kabisa unaenda kutumikia mazingira gani
 
Mimi nadhani ameona haijakaa sawa Mkurugenzi wa TISS asiende Mahakamani halafu yeye ambae ndiye TOP wa ulinzi na usalama wa nchi anaenda Mahakamani na wote walipendekezwa.

Makamu wa Rais Mstaafu, Waziri Mkuu Mstaafu wote hao waonekane hawana sababu ya kwenda Mahakamani kwa matukio mazito yaliyotokea kisha yeye ndie aende Mahakamani. Yamkini ameona kwamba nafasi yake imedharaurika.

Wakuu tuombe tu tuwe na maisha ya kawaida, Mungu atufanyie wepesi wa kula, kuvaa vizuri na kulala. Vyeo vinaweza vikawa ni mzigo mzito sana mtu kuubeba.
 
Tuko rada
1000126924.jpg
 
Hapo ndio tutajua utofauti kati ya nguvu ya misuli, nguvu ya bunduki, na nguvu ya kwenye makaratasi.

Mahakama ina nguvu ya kwenye makaratasi, lakini 'wale' wana nguvu halisi na ya kweli kabisa.

True power rests on a gun, na sio blaaah blaaah.

Naamuru Bichwa Komwe akamatwe.

Hata hivyo, wasipoenda itazidi kuashiria na kuonesha kabisa kwamba nchi haina utawala wa sheria.

Naamini wataenda tu ili ionekane hivyo, lakini hata wasipoenda hakuna wa kuwafanya chochote.
 
Inadaiwa Mkuu wa JWTZ CDF Mkunda, hajapendezwa na kuitwa kwake Mahakamani.

Wote tunajua Jeshi letu lilivyo na kashifa miaka nenda rudi. Kwanza tutamuuliza kama anaumizwa na ufisaidi. Na kama alimfuatilia Luteni Jenerali Abdulrahman Mgonja Shimbo.

Je, kama kweli akikataa wito wa mahakama Kuu, nini kutafuata?
Anabebwa MZOBE MZOBE ,hakuna cha Double standard.
 
Inadaiwa Mkuu wa JWTZ CDF Mkunda, hajapendezwa na kuitwa kwake Mahakamani.

Wote tunajua Jeshi letu lilivyo na kashifa miaka nenda rudi. Kwanza tutamuuliza kama anaumizwa na ufisaidi. Na kama alimfuatilia Luteni Jenerali Abdulrahman Mgonja Shimbo.

Je, kama kweli akikataa wito wa mahakama Kuu, nini kutafuata?
Swali la kitoto sana, sijui hata umepata wapi MB za kuingia jf , its like upo under age.

CDF ni taaisis, lakini pia kama mtu, ni mwenye weledi uliopindukia ndio maana yupo ile nafasi, usimfananishe na watu wa ajabu ajabu. Anajua maadili yake vyema sana.

"mtamfanyaje" hujui kwamba Mahakama ndio imemuita, akikata kufika maana yake amakataa wito wa mahakama, Wito wa Jamhuri, wewe ka akili zako za kwendea chooni unafikiri mtu akidharau mahakama adhabu yake ni nini?
 
Akikataa mtafanya nini? You will do absolutely nothing.
 
Inadaiwa Mkuu wa JWTZ CDF Mkunda, hajapendezwa na kuitwa kwake Mahakamani.

Wote tunajua Jeshi letu lilivyo na kashifa miaka nenda rudi. Kwanza tutamuuliza kama anaumizwa na ufisaidi. Na kama alimfuatilia Luteni Jenerali Abdulrahman Mgonja Shimbo.

Je, kama kweli akikataa wito wa mahakama Kuu, nini kutafuata?
ameapa kuilinda, kuihifadhi na kuitetea Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ameitwa kwa mujibu wa Katiba hiyo na Sheria za nchi.

wamekubali wanasiasa wawaburuze, Acha waburuzike
 
Swali la kitoto sana, sijui hata umepata wapi MB za kuingia jf , its like upo under age.

CDF ni taaisis, lakini pia kama mtu, ni mwenye weledi uliopindukia ndio maana yupo ile nafasi, usimfananishe na watu wa ajabu ajabu. Anajua maadili yake vyema sana.

"mtamfanyaje" hujui kwamba Mahakama ndio imemuita, akikata kufika maana yake amakataa wito wa mahakama, Wito wa Jamhuri, wewe ka akili zako za kwendea chooni unafikiri mtu akidharau mahakama adhabu yake ni nini?
ataa arestiwa na nani kama arrest warrant itatolewa
 
Back
Top Bottom