Mkuu wa Majeshi akikataa wito wa Mahakama, mtamfanya nini?

Mkuu wa Majeshi akikataa wito wa Mahakama, mtamfanya nini?

Naona Mkuu umeona uweke guard. Nimecheka Sana🤣🤣🤣🤣🤣

Umeongea kwa hisia sna... hahahah
Hawa vichaa wa CCM wakiona hoja ni ngumu kwao, wanahamishia mashambulizi kwa mleta hoja ili wajibizane ujinga then mada ipoteze uelekeo. Hivyo usije ukakubali stress za familia zao wazimalizie kwako. Wakanye mapema
 
Ila hao wakuu wote walioitwa Mahakamni ni Watupu kichwani.. Unajua bi Msumi hawezi chagua mtu smart ..Lazima achague ronya ili aweze mpelekesha vizuri... Mtu Smart asingeweza pokea amri za kuua maelfyu ya Raia wake ******* vile......
Narudia tena kungekua mtu smart kati yao hao yale mauaji kamwe yasingetokea..
Kwani hawo ni mashahid wa upande wa serikali au ni mashahid wa Lissu?
 
Hapo wanajitafakari, mara tayari visingizio vimeanza ati wako nje ya nchi
 
20260417_165620.jpg
Baada ya kula maswali ya Lissu
 
Hayuko juu ya sheria.

Na yeye ni mkuu wa chombo cha kulinda katiba.

Na katiba inasema Mahakama ndo chombo kikuu cha kutoa haki nchini.

Sasa inabidi aende akailinde katiba kwa vitendo kwa kuisaidia mahakama kutenda haki.
Hana akili za kung'amua hayo
 
Based on the aforegoing, if the Chief of Defence Forces (CDF) or the Inspector General of Police (IGP) are formally issued a court summons to appear as witnesses and fail to show up, then they are treated just like any other citizen under the law, meaning they face potential arrest warrants, fines, or charges of contempt of court.

Unlike a sitting President, top military and police chiefs do not enjoy blanket immunity from court summonses.

However, because of their high-profile public offices and national security responsibilities, a specific legal and practical sequence unfolds if they fail to appear:


1. Assessment of "Reasonable Excuse":
Before taking punitive action, the court will evaluate why they failed to appear.

Valid Excuse:
If the CDF or IGP cannot attend due to an active national security crisis, state exigencies, or a sudden illness, their legal counsel or the prosecution will present these reasons. The court will usually grant an adjournment and reschedule the hearing.

Willful Disobedience:
If no explanation is provided, or if the court finds the absence to be intentional avoidance, the failure to appear is treated as willful disobedience.

2. Issuance of a Bench Warrant (Warrant of Arrest):
Under standard criminal and civil procedure laws (such as the Criminal Procedure Act), if a witness ignores a mandatory summons without a lawful excuse, the judge has the authority to protect the dignity of the court. The court can issue a bench warrant for their arrest.

The Practical Paradox:
While a court can legally order the arrest of an IGP, executing a warrant against the head of the police force (who commands the very officers meant to enforce it) creates a massive constitutional standoff.

Historically, courts look to resolve this administratively before escalating to physical enforcement.

3. Contempt of Court Charges:
Failing to obey a lawful command from a judge constitutes contempt of the court and if found guilty of the contempt, the court can impose penalties including:

A formal judicial reprimand. Monetary fines. Imprisonment or Detention until they comply and give testimony.

4. Impact on the Legal Case:
The absence of such high-level witnesses severely impacts the trial itself:

For the Defence:
If the security chiefs were summoned by the defence (as seen in high-profile cases like "Tundu Lissu's" trial where the High Court accepted the CDF and IGP as crucial defence witnesses), their failure to appear could violate the accused's constitutional right to a fair hearing.

Case Dismissal or Adverse Inferences:
Depending on whether they are testifying for the state or the defence, their refusal to cooperate can lead the judge to draw "adverse inferences" (assuming their testimony would have harmed the non-complying side's case) or even prompt a dismissal of the charges if the trial cannot fairly proceed without them.

Let us hear what is on your mind.
 
Inadaiwa Mkuu wa JWTZ CDF Mkunda, hajapendezwa na kuitwa kwake Mahakamani.

Wote tunajua Jeshi letu lilivyo na kashifa miaka nenda rudi. Kwanza tutamuuliza kama anaumizwa na ufisaidi. Na kama alimfuatilia Luteni Jenerali Abdulrahman Mgonja Shimbo.

Je, kama kweli akikataa wito wa mahakama Kuu, nini kutafuata?
Hizo ni akil zako tuu Wanajeshi ni watiifu sana Kwa mamlaka na hawana makuu wala hawaringi Kwa vyeo vyao
 
Jeshini wanaapa kiapo cha utii wa sheria za nje, sidhani kama anaweza kuvunja kiapo chake atatengeneza mgogoro mkubwa sana kwa sababu mwingine akishitakiwa anaweza kutoa refference ya jambo lake.
Kama akikataa pia anaweza kushitakiwa kwenye mahakama zao kwanza.
 
Inadaiwa Mkuu wa JWTZ CDF Mkunda, hajapendezwa na kuitwa kwake Mahakamani.

Wote tunajua Jeshi letu lilivyo na kashifa miaka nenda rudi. Kwanza tutamuuliza kama anaumizwa na ufisaidi. Na kama alimfuatilia Luteni Jenerali Abdulrahman Mgonja Shimbo.

Je, kama kweli akikataa wito wa mahakama Kuu, nini kutafuata?
Asipoenda kuisafsha CCM Ili lissu ale kitanzi
Tutarajie Taarifa kwa umma .hii nchi ngum kumeza
 
Jeshini wanaapa kiapo cha utii wa sheria za nje, sidhani kama anaweza kuvunja kiapo chake atatengeneza mgogoro mkubwa sana kwa sababu mwingine akishitakiwa anaweza kutoa refference ya jambo lake.
Kama akikataa pia anaweza kushitakiwa kwenye mahakama zao kwanza.
Unataka kuniambia atakuwa Hana backup nyuma yake?
 
Back
Top Bottom