Mkuu wa Majeshi akikataa wito wa Mahakama, mtamfanya nini?

Mkuu wa Majeshi akikataa wito wa Mahakama, mtamfanya nini?

Akikataa mtafanya nini? You will do absolutely nothing.
"mtamfanya nini" .. kwamba Lissu au Mahakama ndio unaiuliza?

Summuns ni za mahakama na zimeeandikwa madhara ya kuzudharau..!

Lissu anakutaja tu, wewe ndio uje usije utajuana na mahakama!

Nimegundua, vijana wengi humu mna "akili ya kuvukia Zebra cross" only, the rest ni "tabula rasa"
 
Haya.
 
Hapo ndio tutajua utofauti kati ya nguvu ya misuli, nguvu ya bunduki, na nguvu ya kwenye makaratasi.

Mahakama ina nguvu ya kwenye makaratasi, lakini 'wale' wana nguvu halisi na ya kweli kabisa.

True power rests on a gun, na sio blaaah blaaah.

Naamuru Bichwa Komwe akamatwe.

Hata hivyo, wasipoenda itazidi kuashiria na kuonesha kabisa kwamba nchi haina utawala wa sheria.

Naamini wataenda tu ili ionekane hivyo, lakini hata wasipoenda hakuna wa kuwafanya chochote.
Ndio kabisa Komwe
 
Nashindwa kumwelewa dpp haki! Yaani kaamua kuwabagaza wenzake kisa tu hawana kinga.
Mwakitalu ondoaa hii kesi mahakamani upesi kwani kule hakuna siri itafichwa na hasa ukiwa na mawakili aina ya mrema ambaye hakawii kutoa boko!
Hawatakubauli kubeba ngunia la misumari waliyotwishwa na mteuzi wao. Watamwaga mboga na ugali na kulitoboa sufuria kabisa.
Kama umeona sawa kuibagaza serikali yote ukiwemo na wewe sawa lakini utawaonea hao kwa kuwa hawana kinga ya kushitakiwa. Pilato hakuwa mjinga kunawa mikono juu ya tuhuma za Yesu ujue!
 
Hata hivyo, wasipoenda itazidi kuashiria na kuonesha kabisa kwamba nchi haina utawala wa sheria.
Hili ninakubaliana na wewe.
Lakini wasipoenda, utaanzia wapi kuwalaumu wao "wakipewa amri" ya kwenda au kutokwenda.

Usisahau kuwa hawa, kama wao (individuals)' hawana nguvu yoyote ile. Anayewafuga ndiye mwenye nguvu, na hapo walipo hawana tofauti kubwa na wafungwa jela.
 
Wakuu tuombe tu tuwe na maisha ya kawaida, Mungu atufanyie wepesi wa kula, kuvaa vizuri na kulala. Vyeo vinaweza vikawa ni mzigo mzito sana mtu kuubeba.
Maisha yangekuwa yanaishia katika haya uliyoweka hapa, yasingekuwa na maana sana.
Inasikitisha sana kusoma fikra za aina hii kwenye kurasa hizi za JF.
 
Ndio itajulikana kama yupo juu ya sheria na kuthibitishia dunia sasa kwamba mahakama hazina uhuru, achana na mitego ya Lissu mkuu, hapo anawaonyesha anayosema kila siku kuhusu mahakama na majaji
 
Back
Top Bottom