figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Kwenye mauaji huko ni mbali sana. Shida ilianzia kwenye kukubali hizo teuzi wakati unajua kabisa unaenda kutumikia mazingira ganiIla hao wakuu wote walioitwa Mahakamni ni Watupu kichwani.. Unajua bi Msumi hawezi chagua mtu smart ..Lazima achague ronya ili aweze mpelekesha vizuri... Mtu Smart asingeweza pokea amri za kuua maelfyu ya Raia wake ******* vile......
Narudia tena kungekua mtu smart kati yao hao yale mauaji kamwe yasingetokea..
Inauma sanaKwenye mauaji huko ni mbali sana. Shida ilianzia kwenye kukubali hizo teuzi wakati unajua kabisa unaenda kutumikia mazingira gani
Hakika... Hawa watu kwasasa hivi watakuwa na majuto makubwa pengine mpaka siku watakapo ingia kaburini......Wakuu tuombe tu tuwe na maisha ya kawaida, Mungu atufanyie wepesi wa kula, kuvaa vizuri na kulala. Vyeo vinaweza vikawa ni mzigo mzito sana mtu kuubeba.
Anabebwa MZOBE MZOBE ,hakuna cha Double standard.Inadaiwa Mkuu wa JWTZ CDF Mkunda, hajapendezwa na kuitwa kwake Mahakamani.
Wote tunajua Jeshi letu lilivyo na kashifa miaka nenda rudi. Kwanza tutamuuliza kama anaumizwa na ufisaidi. Na kama alimfuatilia Luteni Jenerali Abdulrahman Mgonja Shimbo.
Je, kama kweli akikataa wito wa mahakama Kuu, nini kutafuata?
Spiritually pia lazima wasiwe sawa, damu kumwagika kwa ajili ya haki ni hatari sana.Hakika... Hawa watu kwasasa hivi watakuwa na majuto makubwa pengine mpaka siku watakapo ingia kaburini......
Swali la kitoto sana, sijui hata umepata wapi MB za kuingia jf , its like upo under age.Inadaiwa Mkuu wa JWTZ CDF Mkunda, hajapendezwa na kuitwa kwake Mahakamani.
Wote tunajua Jeshi letu lilivyo na kashifa miaka nenda rudi. Kwanza tutamuuliza kama anaumizwa na ufisaidi. Na kama alimfuatilia Luteni Jenerali Abdulrahman Mgonja Shimbo.
Je, kama kweli akikataa wito wa mahakama Kuu, nini kutafuata?
Ni hatari sana..Spiritually pia lazima wasiwe sawa, damu kumwagika kwa ajili ya haki ni hatari sana.
Akikataa mtafanya nini? You will do absolutely nothing.Swali la kitoto sana, sijui hata umepata wapi MB za kuingia jf , its like upo under age.
CDF ni taaisis, lakini pia kama mtu, ni mwenye weledi uliopindukia ndio maana yupo ile nafasi, usimfananishe na watu wa ajabu ajabu. Anajua maadili yake vyema sana.
"mtamfanyaje" hujui kwamba Mahakama ndio imemuita, akikata kufika maana yake amakataa wito wa mahakama, Wito wa Jamhuri, wewe ka akili zako za kwendea chooni unafikiri mtu akidharau mahakama adhabu yake ni nini?
ameapa kuilinda, kuihifadhi na kuitetea Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ameitwa kwa mujibu wa Katiba hiyo na Sheria za nchi.Inadaiwa Mkuu wa JWTZ CDF Mkunda, hajapendezwa na kuitwa kwake Mahakamani.
Wote tunajua Jeshi letu lilivyo na kashifa miaka nenda rudi. Kwanza tutamuuliza kama anaumizwa na ufisaidi. Na kama alimfuatilia Luteni Jenerali Abdulrahman Mgonja Shimbo.
Je, kama kweli akikataa wito wa mahakama Kuu, nini kutafuata?
Angekuwa na weledi angekubali kupokea Amri haramu ya kuuua innocent civilians...?CDF ni taaisis, lakini pia kama mtu, ni mwenye weledi uliopindukia ndio maana yupo ile nafasi,
ataa arestiwa na nani kama arrest warrant itatolewaSwali la kitoto sana, sijui hata umepata wapi MB za kuingia jf , its like upo under age.