BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 9,528
- 24,071
Apparently this is not so.ameapa kuilinda, kuihifadhi na kuiletea Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ameitwa kwa mujibu wa Katiba hiyo na Sheria
Mkuu, nimekukosea nini? Mimi ndo nilisababisha ufukuzwe? Sijawahi kujadili mada zako hata moja. Kwanini unanishambulia? Naomba stress za maisha kukupiga usizimalizie kwangu.. Please!wewe ka akili zako za kwendea chooni
Hapo chacha!ataa arestiwa na nani kama arrest warrant itatolewa
ok.🐒Inadaiwa Mkuu wa JWTZ CDF Mkunda, hajapendezwa na kuitwa kwake Mahakamani.
Wote tunajua Jeshi letu lilivyo na kashifa miaka nenda rudi. Kwanza tutamuuliza kama anaumizwa na ufisaidi. Na kama alimfuatilia Luteni Jenerali Abdulrahman Mgonja Shimbo.
Je, kama kweli akikataa wito wa mahakama Kuu, nini kutafuata?
Toa hoja gentleman!ok.🐒
ni ngori.🐒Toa hoja gentleman!
Naona Mkuu umeona uweke guard. Nimecheka Sana🤣🤣🤣🤣🤣Mkuu, nimekukosea nini? Mimi ndo nilisababisha ufukuzwe? Sijawahi kujadili mada zako hata moja. Kwanini unanishambulia? Naomba stress za maisha kukupiga usizimalizie kwangu.. Please!
Umeongea kwa hisia sna... hahahahMkuu, nimekukosea nini? Mimi ndo nilisababisha ufukuzwe? Sijawahi kujadili mada zako hata moja. Kwanini unanishambulia? Naomba stress za maisha kukupiga usizimalizie kwangu.. Please!
FactIla hao wakuu wote walioitwa Mahakamni ni Watupu kichwani.. Unajua bi Msumi hawezi chagua mtu smart ..Lazima achague ronya ili aweze mpelekesha vizuri... Mtu Smart asingeweza pokea amri za kuua maelfyu ya Raia wake ******* vile......
Narudia tena kungekua mtu smart kati yao hao yale mauaji kamwe yasingetokea..
Analipwa kwa ajili ya nyakati kama hizi za kutolewa sadaka, so hana uhanja wala uwezo wa kukataa.Inadaiwa Mkuu wa JWTZ CDF Mkunda, hajapendezwa na kuitwa kwake Mahakamani.
Wote tunajua Jeshi letu lilivyo na kashifa miaka nenda rudi. Kwanza tutamuuliza kama anaumizwa na ufisaidi. Na kama alimfuatilia Luteni Jenerali Abdulrahman Mgonja Shimbo.
Je, kama kweli akikataa wito wa mahakama Kuu, nini kutafuata?
Tukiachana na mmaswali atakayo ulizwa, kitendo tu cha kuitikia wito wa mahakama kutamjenga sana yeye pamoja na taasisi anayoiongoza.Inadaiwa Mkuu wa JWTZ CDF Mkunda, hajapendezwa na kuitwa kwake Mahakamani.
Wote tunajua Jeshi letu lilivyo na kashifa miaka nenda rudi. Kwanza tutamuuliza kama anaumizwa na ufisaidi. Na kama alimfuatilia Luteni Jenerali Abdulrahman Mgonja Shimbo.
Je, kama kweli akikataa wito wa mahakama Kuu, nini kutafuata?
Vipi? Au wewe ndo cdf mwenyewe ??????Swali la kitoto sana, sijui hata umepata wapi MB za kuingia jf , its like upo under age.
CDF ni taaisis, lakini pia kama mtu, ni mwenye weledi uliopindukia ndio maana yupo ile nafasi, usimfananishe na watu wa ajabu ajabu. Anajua maadili yake vyema sana.
"mtamfanyaje" hujui kwamba Mahakama ndio imemuita, akikata kufika maana yake amakataa wito wa mahakama, Wito wa Jamhuri, wewe ka akili zako za kwendea chooni unafikiri mtu akidharau mahakama adhabu yake ni nini?
Tutamuagiza kocha wa Yanga akampige miti.Inadaiwa Mkuu wa JWTZ CDF Mkunda, hajapendezwa na kuitwa kwake Mahakamani.