Mkuu wa Majeshi akikataa wito wa Mahakama, mtamfanya nini?

Tumeshasema sana huko nyuma tatizo watanzania hampendi kusoma mnapenda tu mhadithiwe. Tabu sana.
Mkuu kwani kila uzi lazima tuusome? basi tutawehuka, mbona una fikira hasi nani kakwambia napenda kuhadithiwa, kwa taarifa mimi ni msomaji mzuri tu na angalia hata post zangu, Platinum member hahadithiwi mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…