Pre GE2025 Mkuu wa Majeshi: Baadhi ya Wakimbizi wamepewa teuzi Serikalini katika nafasi zenye maamuzi

Pre GE2025 Mkuu wa Majeshi: Baadhi ya Wakimbizi wamepewa teuzi Serikalini katika nafasi zenye maamuzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
CDF ameongea mambo mazito mno kuhusu wakimbizi na walowezi wengine kujipenyeza serikalini kwenye nafasi nyeti, ni maajabu amiri jeshi mkuu kwenye hotuba yake ameonesha kuwa yeye anawaza uchaguzi tu na namna ya kulitumia jeshi kuvuka.

Inawezekana wamemwambia sana huko sirini lakini hana muda na hilo, wameamua kuweka mambo hadharani wananchi tujue, wakijua labda SSH atapata msukumo wa kulivali njuga.
Inaonaonekana huko juu kuna fraud ya hali ya juu sana,kuanzia vyeti vya kuzaliwa, vyeti vya shule, hadi vyeti vya Uraia, ni full udanganyifu kila nyanja!!
 
Nimeshangaa kidogo kusikia Rais anawaambia JWTZ mambo ya ulinzi kwenye uchaguzi, yanawahusu nini? Kwani JWTZ si wanakazi ya kulinda mipaka yetu au kuna nchi nyingine inataka kuvamia uchaguzi?
 
Inaonaonekana huko juu kuna fraud ya hali ya juu sana,kuanzia vyeti vya kuzaliwa, vyeti vya shule, hadi vyeti vya Uraia, ni full udanganyifu kila nyanja!!
NIDA, RITA na Uhamiaji, ukinipa leo hii urais wa JMTZ, siku ya kwanza baada ya kula kiapo, nitazivunja vunja hizi taasisi/idara tatu na kuziunda upya kabisa pamoja na kuzihamishia Ofisi ya Rais.

Alichosema CDF leo asingekisema kama hizo taasisi/idara hapo zingekuwa zinafanya kazi kwa weledi.
 
Sasa,nadhani haya maneno yataleta taharuki kwa wakimbizi.
Labda Mhe. Januari Makamba naye pia atazungumzia hili swala,kwa sababu ni jambo linashangiliwa na baadhi ya watu,lakini haielekei kama linaendana na Foreign Policy ya Tanzania ya miaka sitini iliyopita,traditional Foreign Policy yetu ya kusema Afrika ni moja.
Economic migrants wasiendekezwe. Echoes of the xenophobia in South Africa.
UNHCR ,wao wamesema nini? Wamesema wanasumbuliwa na mzigo wa wakimbizi? Wamesema wanasumbuliwa na economic migrants? Wamesema wanasumbuliwa na wakimbizi 138,149 waliofika mwaka jana?
Siyo tu wakimbizi wanahatarisha usalama wa nchi,lakini pia madawa ya kulevya yanahatarisha usalama wa nchi. Pia,matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii inahatarisha usalama wa nchi.
Bila kusahau vijana wanarubuniwa kwenda kufanya ugaidi nchi za nje ambapo labda watajikuta Mtanzania anapigana na Mtanzania.
Lakini hili swala la ajira za wakimbizi.
Yaani,wakimbizi wameaj8tiwa serikalini. Sasa,unatala kuwaachisha kazi,au inawaita majasusi au vipi?
Nilikuwa juzi natazama video YouTube kuhusu Wameru. Kumbe Wameru wanaozungumziwa ni Wameru wa Kenya. Haya mambo ya uraia lazima yawe handled carefully.
Mtoto wa rais rais. Mtoto wa waziri anaitwa Prince. Hawa ni Prince by birth.
Waziri anaitwa Prince wa nchi. Kwa hiyo tunatumaini watu wowote walioitumikia nchi hii wataheshimiwa.
Wameru wa kenya na wa Tanzania ni tofauti kabisa. Kwanza wameru wa Bongo ni wakimbizi wa kichagga na mchanganyiko kidogo wa kimasai. Hao murume wa Kenya tofauti kabisa.
 
CDF ameongea mambo mazito mno kuhusu wakimbizi na walowezi wengine kujipenyeza serikalini kwenye nafasi nyeti, ni maajabu amiri jeshi mkuu kwenye hotuba yake ameonesha kuwa yeye anawaza uchaguzi tu na namna ya kulitumia jeshi kuvuka.

Inawezekana wamemwambia sana huko sirini lakini hana muda na hilo, wameamua kuweka mambo hadharani wananchi tujue, wakijua labda SSH atapata msukumo wa kulivali njuga.
Na hili nalo mkaliangalie
 
asante sana intel ya jwtz kwa kazi nzuri na kubwa mliyoifanya kubaini mliyoyabaini na kwa wenye akili tumegundua kuwa sasa tuna rotten tiss kwani kama ingekuwa imara isingekaa kimya mpaka intel ya jwtz imeweza kubaini nyeti yaliyojificha

shame on you tiss na dgis wenu

angalizo

nimeitaja ccm nikiwa na maana kwamba hao hao watumishi mapandikizi ya mataifa jirani adui huwa wakistaafu serikalini ccm huwachukua na kuendelea kuwatumia hasa kwa mambo ya kimkakati na kiujasusi dhidi ya wapinzani huku wakiendelea kupeleka ripoti zao kwa hao majirani maadui wanaowatuma na kuwatumia kwa kazi maalum

na kwa wapinzani pia ni kwamba wapo ambao wanalipwa na kutumila kuleta mitafaruku ya kisiasa nchini, kuwasumbua watawala ( marais ) na kuwafanya waione ikulu ni chungu na hata kuchanganyikiwa katika kuitawala nchi
 
asante sana intel ya jwtz kwa kazi nzuri na kubwa mliyoifanya kubaini mliyoyabaini na kwa wenye akili tumegundua kuwa sasa tuna rotten tiss kwani kama ingekuwa imara isingekaa kimya mpaka intel ya jwtz imeweza kubaini nyeti yaliyojificha

shame on you tiss na dgis wenu

Evidence
 
Back
Top Bottom