Pre GE2025 Mkuu wa Majeshi: Baadhi ya Wakimbizi wamepewa teuzi Serikalini katika nafasi zenye maamuzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Inaonaonekana huko juu kuna fraud ya hali ya juu sana,kuanzia vyeti vya kuzaliwa, vyeti vya shule, hadi vyeti vya Uraia, ni full udanganyifu kila nyanja!!
 

Nimeshangaa kidogo kusikia Rais anawaambia JWTZ mambo ya ulinzi kwenye uchaguzi, yanawahusu nini? Kwani JWTZ si wanakazi ya kulinda mipaka yetu au kuna nchi nyingine inataka kuvamia uchaguzi?
 
Inaonaonekana huko juu kuna fraud ya hali ya juu sana,kuanzia vyeti vya kuzaliwa, vyeti vya shule, hadi vyeti vya Uraia, ni full udanganyifu kila nyanja!!
NIDA, RITA na Uhamiaji, ukinipa leo hii urais wa JMTZ, siku ya kwanza baada ya kula kiapo, nitazivunja vunja hizi taasisi/idara tatu na kuziunda upya kabisa pamoja na kuzihamishia Ofisi ya Rais.

Alichosema CDF leo asingekisema kama hizo taasisi/idara hapo zingekuwa zinafanya kazi kwa weledi.
 
Wameru wa kenya na wa Tanzania ni tofauti kabisa. Kwanza wameru wa Bongo ni wakimbizi wa kichagga na mchanganyiko kidogo wa kimasai. Hao murume wa Kenya tofauti kabisa.
 
Na hili nalo mkaliangalie
 
asante sana intel ya jwtz kwa kazi nzuri na kubwa mliyoifanya kubaini mliyoyabaini na kwa wenye akili tumegundua kuwa sasa tuna rotten tiss kwani kama ingekuwa imara isingekaa kimya mpaka intel ya jwtz imeweza kubaini nyeti yaliyojificha

shame on you tiss na dgis wenu

angalizo

nimeitaja ccm nikiwa na maana kwamba hao hao watumishi mapandikizi ya mataifa jirani adui huwa wakistaafu serikalini ccm huwachukua na kuendelea kuwatumia hasa kwa mambo ya kimkakati na kiujasusi dhidi ya wapinzani huku wakiendelea kupeleka ripoti zao kwa hao majirani maadui wanaowatuma na kuwatumia kwa kazi maalum

na kwa wapinzani pia ni kwamba wapo ambao wanalipwa na kutumila kuleta mitafaruku ya kisiasa nchini, kuwasumbua watawala ( marais ) na kuwafanya waione ikulu ni chungu na hata kuchanganyikiwa katika kuitawala nchi
 

Evidence
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…