Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,662
- 27,112
Wenzetu huko wako mbele ya muda!Yaani Kiongozi mkuu wa nchi ana kesi ya rushwa mahakamani!Na vyombo vimemchunguza na ushahidi ukawekwa bayana!Hawa wenzetu wanawezaje miaka yote wapo vitani na bado nchi inaendeshwa kidemocrasia hii ingekuwa africa hapo aingetoka mtu kwenye madaraka sanasana angeingiza watoto wake majeshini ili warithi uongozi.
Njoo bongoland,hahahaaaaa,hihihihiiiiiii!
Utalia na kucheka kwa wakati mmoja!
Picha linaanza unaambiwa Rais hatashtakiwa kwa jambo lolote😃,ukigeuka hivi unaambiwa Rais hatalazimika kumsikiliza yeyote kwenye kufanya maamuzi!😀
Kipozeo ni kuwa Rais ataendesha nchi Kwa mujibu wa katiba na Sheria!
Kituko,hata akiamua kuendesha nchi kwa kuikanyaga hiyo katiba na Sheria zake,Nini kitatokea?Si Katiba hiyo hiyo imesema hatashtakiwa kwa chochote😀
Does it make any sense?
Hii ndio Africa!