Wenzetu huko wako mbele ya muda!Yaani Kiongozi mkuu wa nchi ana kesi ya rushwa mahakamani!Na vyombo vimemchunguza na ushahidi ukawekwa bayana!Hawa wenzetu wanawezaje miaka yote wapo vitani na bado nchi inaendeshwa kidemocrasia hii ingekuwa africa hapo aingetoka mtu kwenye madaraka sanasana angeingiza watoto wake majeshini ili warithi uongozi.
Ni kama tupo karne ya 10 huko..Wenzetu huko wako mbele ya muda!Yaani Kiongozi mkuu wa nchi ana kesi ya rushwa mahakamani!Na vyombo vimemchunguza na ushahidi ukawekwa bayana!
Njoo bongoland,hahahaaaaa,hihihihiiiiiii!
Utalia na kucheka kwa wakati mmoja!
Picha linaanza unaambiwa Rais hatashtakiwa kwa jambo lolote😃,ukigeuka hivi unaambiwa Rais hatalazimika kumsikiliza yeyote kwenye kufanya maamuzi!😀
Kipozeo ni kuwa Rais ataendesha nchi Kwa mujibu wa katiba na Sheria!
Kituko,hata akiamua kuendesha nchi kwa kuikanyaga hiyo katiba na Sheria zake,Nini kitatokea?Si Katiba hiyo hiyo imesema hatashtakiwa kwa chochote😀
Does it make any sense?
Hii ndio Africa!
basi tuseme kwa pamoja R.I.P wateule wa mchongoBora Netanyahu kiasi flani anauoga, huyu mpinzani wake Gadi Eisenkot wa moto kinoma.
Wagombea wote lengo ni moja wanatofautiana approach kuhusu Gaza/Hamas, Lebanon, Iran, Turkey, Damascus & Yemen.
Wajinga na wapumbavu tu ndiyo watakubaliana na uongo huu!!Mkuu wa majeshi wa Israel, bwana zamir,amemgomea waziri mkuu wa Israel Benjamin netanyahu kuishambulia iran siku moja kabla ya uchaguzi mkuu Israel
Bwana zamir alimtaka netanyahu asaini nyaraka rasmi za amri hiyo Ili atekeleze Ili baadae mkono wa Sheria usimkute
Netanyahu ana Hali ngumu ya kisiasa,huenda asishinde,na akikaa nje ya madaraka ni rahisi kwake kuukwepa mkono wa Sheria dhidi ya kesi yake ya ufisadi
Juzi ndege vita za Israel ziliruka hadi mpaka wa iraq-iran wakitaraji Iran ishambulie wapate sababu ya vita na hivyo kuahirisha uchaguzi
In ‘unprecedented confrontation,’ IDF chief said resisting Netanyahu's order for military action tied to Iran | The Times of Israel https://www.timesofisrael.com/in-un...g-military-action-tied-to-iran-ordered-by-pm/
Endelea tu kujifariji!!basi tuseme kwa pamoja R.I.P wateule wa mchongo
Mmeanza kujiwahi Netanyahu atashinda tu na magaidi wataendelea kupata kipondo kama kawaida!!Nyie hamuwajui wanasiasa uyodingi ana ushawishi mkubwa sana Marekani lazima waibe uchaguzi ashinde tu hao ndio wauni wenyewe wakizayuni
😁😁Unatoa habari chooni unaleta hapa
Habari ambazo hauna uhakika naz
😁😁😁
Kobazi = Mavi kichwani
unaijua FOAB wewe!!!Endelea tu kujifariji!!
Unadhani ni bongoland?Kama waziri mkuu ana kesi mahakamani ya rushwa na kilichomuokoa ni vita,unadhani hayo yanawezekana Tanzania?Wajinga na wapumbavu tu ndiyo watakubaliana na uongo huu!!
Kwa mfumo wa kijeshi ulivyo Mkuu wa Majeshi hana ubavu wa kukataa amri ya mkuu wake ambaye ni Waziri Mkuu!!
Endelea kuwadanganya Wafuga Midevu na Majini wenzako ambao hawajitambui kama wewe!!
Waziri Mkuu wa Israel yeye kasema habari hii ni NONSENSE harafu wewe unatuletea Propaganda Za kijinga!!Unadhani ni bongoland?Kama waziri mkuu ana kesi mahakamani ya rushwa na kilichomuokoa ni vita,unadhani hayo yanawezekana Tanzania?
Gazeti la Israel
Unaibishia hadi times of Israel?..wewe ni kichaa,na netanyahu wako kishaanza kupagawa huko,tweet nyingi, maana waisrael feki wamejitikeza wengi kupiga kuraWajinga na wapumbavu tu ndiyo watakubaliana na uongo huu!!
Kwa mfumo wa kijeshi ulivyo Mkuu wa Majeshi hana ubavu wa kukataa amri ya mkuu wake ambaye ni Waziri Mkuu!!
Endelea kuwadanganya Wafuga Midevu na Majini wenzako ambao hawajitambui kama wewe!!
Wewe kama ungekua unajitambua usingevaa pampers na kitenge😆Wajinga na wapumbavu tu ndiyo watakubaliana na uongo huu!!
Kwa mfumo wa kijeshi ulivyo Mkuu wa Majeshi hana ubavu wa kukataa amri ya mkuu wake ambaye ni Waziri Mkuu!!
Endelea kuwadanganya Wafuga Midevu na Majini wenzako ambao hawajitambui kama wewe!!
Wavaa mbao mnapenda nini😆😁😁
Wavaa mashuka wanapendaga zile faraja za AI ili watulize kiu yao ya kuua na kuona damu za wayahudi na wakristo.