Hawa wanajielewa siyo kama akina Mulilo ambao ni Makada wa a chama cha CCMMkuu wa Majeshi Jenerali Jacob Mkunda amewaambia askari wa JWTZ kuwa askari yoyote atakayejihusisha na siasa basi watamchukulia hatua za kinidhamu ikiwemo kumfuta kazi.
Jenerali Mkunda akaongeza, askari wa JWTZ mnaruhusiwa kupiga kura lakini sio kufanya siasa ambapo ni kinyume na taratibu za kijeshi.
Jenerali Mkunda ameyasema hayo alipokuwa anafunga mafunzo ya askari wapya katika Shule ya Mafunzo ya Kijeshi ya Kihangaiko iliyopo Msata, Wilayani Bagamoyo.
Wazi afande, ongezea kabisa sauti 🫡Mkuu wa Majeshi Jenerali Jacob Mkunda amewaambia askari wa JWTZ kuwa askari yoyote atakayejihusisha na siasa basi watamchukulia hatua za kinidhamu ikiwemo kumfuta kazi.
Jenerali Mkunda akaongeza, askari wa JWTZ mnaruhusiwa kupiga kura lakini sio kufanya siasa ambapo ni kinyume na taratibu za kijeshi.
Jenerali Mkunda ameyasema hayo alipokuwa anafunga mafunzo ya askari wapya katika Shule ya Mafunzo ya Kijeshi ya Kihangaiko iliyopo Msata, Wilayani Bagamoyo.
Muulize vipi kuhusu Jeshi kukaa kimya Katiba ikivunjwa wazi na Viongozi wa CCM na Serikali wakati kiapo chao ni kuilinda hiyo Katiba?Mkuu wa Majeshi Jenerali Jacob Mkunda amewaambia askari wa JWTZ kuwa askari yoyote atakayejihusisha na siasa basi watamchukulia hatua za kinidhamu ikiwemo kumfuta kazi.