Mkuu wa Majeshi nchini amesema nchi ipo salama

Mkuu wa Majeshi nchini amesema nchi ipo salama

Mateso chakubanga

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2021
Posts
587
Reaction score
800
Mkuu wa majeshi ya ulinzi nchini jenerali Jacob John Mkunda amesema Tanzania ipo salama.

Jenerali Mkunda ameyasema hayo leo mjini Songea katika kikao cha kawaida cha makamanda wa vikosi kilichofanyika katika Brigade ya Kusini mjini Songea.

Mkuu wa majeshi ya ulinzi nchini jenerali Jacob Nkunda amesema Tanzania ipo salama,Jenerali Nkunda ameyasema hayo leo mjini Songea katika kikao cha kawaida cha makamanda wa vikosi kilichofanyika katika Brigade ya kusini mjini Songea.
Kama nchi iko salama!

Iweje mkuu wa majeshi anaongelea kutoka site ya front line, Songea.
Ambako ni Mpakani mwa Tanzania na Msumbiji??

Na huko ndiko tumetaharishwa kuweza kutokea uvamizi wa Islamic jihadist?
 
Kumbe Songea ndiyo front line eenh?

Ila usijal kule kuna viashiria vya wale m23 kuingia nchini kuja kuchukua chakula tu na wala siyo kuja kufanya ugaid!

Na pia huwa hawafanikiwi hata kupata hicho chakula[emoji16] kila anayejatibu kuvuka huwa hapati hata nafasi ya kurudi kwenda kuhadithia kilichompata!
 
Back
Top Bottom