Hawa akina Nkunda ni watutsi.Mkuu wa majeshi ya ulinzi nchini jenerali Jacob Nkunda amesema Tanzania ipo salama.
Jenerali Nkunda ameyasema hayo leo mjini Songea katika kikao cha kawaida cha makamanda wa vikosi kilichofanyika katika Brigade ya Kusini mjini Songea.