GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
CDF Jenerali Mkunda ni kweli kabisa na nakubaliana nawe ( tena 100% ) kuwa Nchi ipo Salama ndiyo maana kuna hata Tishio la Shambulio la Kigaidi kama tulivyotahadharishwa na Marekani ambayo huwa haibeti ( haiongopi wala Kukosea ) linapokuja Suala la Ulinzi na Usalama na utoaji wake / wao wa Taarifa hiyo.Mkuu wa majeshi ya ulinzi nchini jenerali Jacob Nkunda amesema Tanzania ipo salama,Jenerali Nkunda ameyasema hayo leo mjini Songea katika kikao cha kawaida cha makamanda wa vikosi kilichofanyika katika Brigade ya kusini mjini Songea.