Mkuu wa Majeshi nchini amesema nchi ipo salama

Mkuu wa Majeshi nchini amesema nchi ipo salama

Kama nchi iko salama!

Iweje mkuu wa majeshi anaongelea kutoka site ya front line, Songea.
Ambako ni Mpakani mwa Tanzania na Msumbiji??

Na huko ndiko tumetaharishwa kuweza kutokea uvamizi wa Islamic jihadist?
Wewe jamaa unataka watu wasichukue tahadhari?
 
Mkuu wa majeshi ya ulinzi nchini jenerali Jacob John Mkunda amesema Tanzania ipo salama.

Jenerali Mkunda ameyasema hayo leo mjini Songea katika kikao cha kawaida cha makamanda wa vikosi kilichofanyika katika Brigade ya Kusini mjini Songea.

Tumuogope mungu na tuwe wakweri ...Mungu ndiyo anatuweka salama......hapo hata fyataki kuchomoka tuu patakuwa nduki hakuna cha Jenerali wataisi ni alshababy ....
 
Mkuu wa majeshi ya ulinzi nchini jenerali Jacob John Mkunda amesema Tanzania ipo salama.

Jenerali Mkunda ameyasema hayo leo mjini Songea katika kikao cha kawaida cha makamanda wa vikosi kilichofanyika katika Brigade ya Kusini mjini Songea.

Umbile lake, sura yake, sauti yake pamoja na posture vyote vinaendana kabisa na maneno anayotamka kwamba Nchi iko salama. Hupati shida kumwelewa au kumwamini. Mungu ambariki sana
 
Nchi haiko salama wiki ilopita zilipita gari ndogo za jeshi zaidi ya mia kwenda Songea...kuna nn zilikuwa gari za wakubwa tu
Msikilize CDF kwenye clip hiyo hapo juu. Hadi ameenda akatoa misaada lukuki kwa shule za Msingi na Sekondari; kuonyesha kuwa safari yake haikuwa ya shari bali salama. Kwenye misaada amewazidi hadi vyama vya upinzani
 
CDF Jenerali Mkunda ni kweli kabisa na nakubaliana nawe ( tena 100% ) kuwa Nchi ipo Salama ndiyo maana kuna hata Tishio la Shambulio la Kigaidi kama tulivyotahadharishwa na Marekani ambayo huwa haibeti ( haiongopi wala Kukosea ) linapokuja Suala la Ulinzi na Usalama na utoaji wake / wao wa Taarifa hiyo.
wewe ni certified f..l
 
Mbona ya zamani sana?kwa sasa hana taarifa kuna watu wapo lockup wakituhumiwa kupanga njama za kuiangusha Serikali ya awamu ya 6?
 
Back
Top Bottom