Mateso chakubanga
JF-Expert Member
- May 10, 2021
- 587
- 800
NdioKwahiyo ubalozi wa marekani ni waongo?
Duh!Ndio
Wazushi waongo Marekani pia huwa wanaongopa sio malaika wale ni binadamu.Kwahiyo ubalozi wa marekani ni waongo?
Utuambie kuna nini. Kwasababu weye ndie uliezio gari hizoNchi haiko salama wiki ilopita zilipita gari ndogo za jeshi zaidi ya mia kwenda songea...kuna nn zilikuwa gari za wakubwa tu
Kama nchi iko salama!Mkuu wa majeshi ya ulinzi nchini jenerali Jacob Nkunda amesema Tanzania ipo salama,Jenerali Nkunda ameyasema hayo leo mjini Songea katika kikao cha kawaida cha makamanda wa vikosi kilichofanyika katika Brigade ya kusini mjini Songea.
kwannHuyu General nimejikuta namuamini sanaa. Natamani tuanzishe vita sehemu
ndio wakubwa waliamua kufanyia kikao songeaNchi haiko salama wiki ilopita zilipita gari ndogo za jeshi zaidi ya mia kwenda songea...kuna nn zilikuwa gari za wakubwa tu
Nchi haiko salama wiki ilopita zilipita gari ndogo za jeshi zaidi ya mia kwenda songea...kuna nn zilikuwa gari za wakubwa tu
Kama nchi iko salama!
Iweje mkuu wa majeshi anaongelea kutoka site ya front line, Songea.
Ambako ni Mpakani mwa Tanzania na Msumbiji??
Na huko ndiko tumetaharishwa kuweza kutokea uvamizi wa Islamic jihadist?
Muwe mnaelewa mambo, hata mpaka US wanatangaza wanashirikiana na vyombo vyetu, na inawezekana waliokua wanajipanga Somalia ndio waliowahiwaKwahiyo ubalozi wa marekani ni waongo?
Si vikao vya mwakaNchi haiko salama wiki ilopita zilipita gari ndogo za jeshi zaidi ya mia kwenda songea...kuna nn zilikuwa gari za wakubwa tu