GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
CDF Jenerali Mkunda ni kweli kabisa na nakubaliana nawe ( tena 100% ) kuwa Nchi ipo Salama ndiyo maana kuna hata Tishio la Shambulio la Kigaidi kama tulivyotahadharishwa na Marekani ambayo huwa haibeti ( haiongopi wala Kukosea ) linapokuja Suala la Ulinzi na Usalama na utoaji wake / wao wa Taarifa hiyo.Mkuu wa majeshi ya ulinzi nchini jenerali Jacob Nkunda amesema Tanzania ipo salama,Jenerali Nkunda ameyasema hayo leo mjini Songea katika kikao cha kawaida cha makamanda wa vikosi kilichofanyika katika Brigade ya kusini mjini Songea.
Kakwambia nani songea ni mpakani na msumbiji!?Kama nchi iko salama!
Iweje mkuu wa majeshi anaongelea kutoka site ya front line, Songea.
Ambako ni Mpakani mwa Tanzania na Msumbiji??
Na huko ndiko tumetaharishwa kuweza kutokea uvamizi wa Islamic jihadist?
Nchi haiko salama wiki ilopita zilipita gari ndogo za jeshi zaidi ya mia kwenda songea...kuna nn zilikuwa gari za wakubwa tu
Kuna joto gani la kisiasa lililoongezeka nchini!?Kwenye masuala ya siasa kuna technique moja ambayo hata huko Marekani wameshaitumia. Kukiwa na vuguvugu la kisiasa ndani ya nchi linalohatarisha utawala uliopo au usalama wa nchi, tafuta adui wa nje na mkuze, nchi itatulia.
Si mara ya kwanza kuona kila joto la kisiasa likiongezeka nchini, huko Kusini tunapewa habari kuwa hali si nzuri. Is it a coincidence?
We mfuasi wa kindakindaki wa lisu, lazima uamini wazunguKati ya mkuu wa majeshi na ubalozi wa Marekani, tumwamini nani? Mm namwamini Marekani.
Kama nchi iko salama!
Iweje mkuu wa majeshi anaongelea kutoka site ya front line, Songea.
Ambako ni Mpakani mwa Tanzania na Msumbiji??
Na huko ndiko tumetaharishwa kuweza kutokea uvamizi wa Islamic jihadist?
Kati ya mkuu wa majeshi na ubalozi wa Marekani, tumwamini nani? Mm namwamini Marekani.
We ni zuzu kabisa unasikia kabisa kulikua na kikao halafu unasema haiko salama tena kima weNchi haiko salama wiki ilopita zilipita gari ndogo za jeshi zaidi ya mia kwenda songea...kuna nn zilikuwa gari za wakubwa tu
Zilibeba viongozi wa vikosi kwenda kikao chao cha kawaida SongeaNchi haiko salama wiki ilopita zilipita gari ndogo za jeshi zaidi ya mia kwenda songea...kuna nn zilikuwa gari za wakubwa tu
Yani waache kuchukua chakula kigoma au bukoba ,waende songea ?watafikaje,watakua wehuKumbe songea ndiyo front line eenh?
Ila usijal kule kuna viashiria vya wale m23 kuingia nchini kuja kuchukua chakula tu na wala siyo kuja kufanya ugaid!
Na pia huwa hawafanikiwi hata kupata hicho chakula[emoji16] kila anayejatibu kuvuka huwa hapati hata nafasi ya kurudi kwenda kuhadithia kilichompata!
Wabongo ni michosho tu. Huwa hawanaga taarifa zozote. Nakupa mifano miwili tu:Mmarekani ndio anadhamana ya kukulinda?
Mkuu funguka,nakufuatilia kwenye comments zako nyuzi tofauti tofauti kuhusiana na hii issue,inaonekana una Jambo unafahamu ,weka dot kwa code Basi .Wabongo ni michosho tu. Huwa hawanaga taarifa zozote. Nakupa mifano miwili tu:
1. Vituo vya polisi kibao vidhawahi kuvamiwa na polisi wakanyang'anywa silaha. Kwann hakupata taarifa mapema?
2. Hamza 1 tu aliwapoka silaha askari waliokuwa lindo, akawapurura askari zaidi ya 9, na kuwajerhi wengine kibao. Kwann hawakupata taarifa za Hamza? Na kwann hawakummudu Hamza?
Si ndio walienda kufanya vikao hivyo, Unaogopa je vingepita vifaru!Nchi haiko salama wiki ilopita zilipita gari ndogo za jeshi zaidi ya mia kwenda songea...kuna nn zilikuwa gari za wakubwa tu
Sema walichelewa kummudu,Mkuu funguka,nakufuatilia kwenye comments zako nyuzi tofauti tofauti kuhusiana na hii issue,inaonekana una Jambo unafahamu ,weka dot kwa code Basi .
Umeambiwa kulikuwa na kikao cha kawaida cha majenerali huko kusini, au ww husomi taarifa ukaielewa?Nchi haiko salama wiki ilopita zilipita gari ndogo za jeshi zaidi ya mia kwenda songea...kuna nn zilikuwa gari za wakubwa tu
Vibaka ni kazi ya polisi sio jeshi la wananchiMbona vibaka wamesha mtaani
Kati ya mkuu wa majeshi na ubalozi wa Marekani, tumwamini nani? Mm namwamini Marekani.
Yani waache kuchukua chakula kigoma au bukoba ,waende songea ?watafikaje,watakua wehu