Mkuu wa Majeshi ya Israel akiri kushindwa na Hamas

Mungu akunyime yote ila sio Akili, makobaz akili hakuna kabisa, au Gaza hujui mwanzo na sasa? Akili hakuna kabisa, hali ya Gaza which is Hell on earth as UN said at the moment, unategemea maneno ya IDF Chief ndio upate faraja? It seems akili huna, huoni, umejifunika ujinga mkubwa kutoona how Gaza has been destroyed and almost is the Hell on earth, alafu unasema IDF imeshindwa vita? Na kujitapa, hii sio akili huna tu, huenda ushakufa ubongo muda mrefu upo upo tu..!! Dead woman walking..!!
 
Hii ni habari njema zaidi kwa magaidi kuzidi hata kuletwa kwa kuraani kwao.
 
Sina taarifa hizo.

Taarifa ziambatane na ushahidi.
Relax grandma n enjoy your IDD,ila elewa jirani yako hajajaliwa hicho ulichojaliwa,na sikushangai sana,unayajua sana ya middle east ila ya hapa DRC,South Sudan,Somalia,capo Delgado na huku lingusenguse huyajui,shame on you kwa kuishi kwa pretending
 
Siyajuwi, wala sina haja ya kuyajuwa.

Kila mmoja wetu na lwake.
 
Usifikiri vita vinapiganwa kwenye nedani tu.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Toka lini mwanamke juha kama wewe akawa mchambuzi wa vita.
Ukienda kufinyangwa na mashehe huko madrasa sio bure.
 
Siyajuwi, wala sina haja ya kuyajuwa.

Kila mmoja wetu na lwake.
Screenshot_20240408-164258~2.png
 
Naona umekuja na habari ya kusherehekea Eid el Fitr..

Sherehekea tu kwa leo na kesho, ila naamini keshokutwa akili zitakurudia ukishaona maafa wanayofanyiwa wanawake na watoto wa Kipalestina mpaka mnalia kila siku dunia iwasaidie.

Kwa leo endelea kulewa utamu wa pilau.
 
  • Thanks
Reactions: 511
Allahu Akbar.

Mkuu wa majeshi ya Israel kwa kauli yake mwenyewe, amekiri kushindwa vita na Hamas.

Israel imethibitisha kuwa imeshindwa kufikia malengo yake ya vita katika Ukanda wa Gaza wakati waasi wa IDF wakijiondoa kutoka sehemu kubwa ya eneo la Palestina baada ya mapigano ya miezi kadhaa. Mkuu wa majeshi, Luteni Jenerali Herzi Halevi amesema malengo hayo bado hayajafikiwa kikamilifu katika Ukanda wa Gaza na hiyo ni pamoja na kurejea kwa mateka wote, kurejea kwa wakaazi wote wa kaskazini na kusini katika makazi yao kwa usalama, na kusambaratisha Hamas katika Ukanda mzima wa Gaza. Tazama video kwa zaidi. HABARI ZA KIMATAIFA

View: https://youtu.be/x9VSIMjK2Ho?si=CWTf6IY4PcFXgCpm

wahuni idf walikua hawana lengo lolote zaidi ya kisasi
kama mateka wao wako nje ya gaza labda egypt wataanzisha vita na egypt wazee va visasi wale.
 
Hao jamaa usiwaanini sana, lazima tujue hatma ya waliotangulia mbele za haki. Sio mnafanya mambo yenu mkimaliza mnazitisha vita
 
Allahu Akbar.

Mkuu wa majeshi ya Israel kwa kauli yake mwenyewe, amekiri kushindwa vita na Hamas.

Israel imethibitisha kuwa imeshindwa kufikia malengo yake ya vita katika Ukanda wa Gaza wakati waasi wa IDF wakijiondoa kutoka sehemu kubwa ya eneo la Palestina baada ya mapigano ya miezi kadhaa. Mkuu wa majeshi, Luteni Jenerali Herzi Halevi amesema malengo hayo bado hayajafikiwa kikamilifu katika Ukanda wa Gaza na hiyo ni pamoja na kurejea kwa mateka wote, kurejea kwa wakaazi wote wa kaskazini na kusini katika makazi yao kwa usalama, na kusambaratisha Hamas katika Ukanda mzima wa Gaza. Tazama video kwa zaidi. HABARI ZA KIMATAIFA

View: https://youtu.be/x9VSIMjK2Ho?si=CWTf6IY4PcFXgCpm
.
 
Hapa ni narrative, malengo yao hayajafanikiwa na si kwasababu hamas ni wazuri but idadi ya raia wasio na hatia wanao uwawa and lastly wana loose international support kwa speed ya 4g
 
Allahu Akbar.
Allah kachemsha, watoto kina mama wanakufa yeye anaangalia tu! Tumia akili yako wewe! Amka toka usingizini!

More children killed in Gaza in four months than in four years of war globally: report​

More than 12,300 children have been killed in Gaza since October, according to the Gaza Health Ministry, surpassing the number killed in conflicts around the world from 2019 to 2022.

The Palestinian death toll from the war has surpassed 33,200 with nearly 76,000 people wounded, Gaza’s Ministry of Health said on Monday. Women and children make up two-thirds of the dead.

  • Kicheko
Reactions: 511
Allahu Akbar.

Mkuu wa majeshi ya Israel kwa kauli yake mwenyewe, amekiri kushindwa vita na Hamas.

Israel imethibitisha kuwa imeshindwa kufikia malengo yake ya vita katika Ukanda wa Gaza wakati waasi wa IDF wakijiondoa kutoka sehemu kubwa ya eneo la Palestina baada ya mapigano ya miezi kadhaa. Mkuu wa majeshi, Luteni Jenerali Herzi Halevi amesema malengo hayo bado hayajafikiwa kikamilifu katika Ukanda wa Gaza na hiyo ni pamoja na kurejea kwa mateka wote, kurejea kwa wakaazi wote wa kaskazini na kusini katika makazi yao kwa usalama, na kusambaratisha Hamas katika Ukanda mzima wa Gaza. Tazama video kwa zaidi. HABARI ZA KIMATAIFA

View: https://youtu.be/x9VSIMjK2Ho?si=CWTf6IY4PcFXgCpm

Bibi ushaswali????
 
Kafiri moga hatari. Kwanza kufa anaogopa ndio maana anatumia silha nzito na kuomba msaada kila pande. Muislam kufa kwake faraja hasa akiwa anapigania haki yake.
 
Back
Top Bottom