Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Dini hizi jau sana aisee.
Mtu anaweza kukutia bisu la tumbo kisa dini wakati hizo ahadi za pepo ni ahadi tu ambazo hamna alieziona zaidi ya masimulizi.
Dini zote msingi wake mkuu ni imani, kuamini kitu ambacho wala hujawahi kukiona.
Sasa mtu mpaka anafikia hatua anakufa kwasababu ya dini, huyo ni mvivu wa kufikiri na ni muoga wa kufikiri pia.
Baadhi ya waislam kama huyu mleta uzi wanayalaani mauaji ya huko Gaza ilhali hapo Sudani watu wa dini yake, race yake, bara lake wanateketeza ila anasema hilo hajali anasimama na Gaza.
Hii ni hatari kwa kizazi chake pia.