Kwahy habari za hamas umezipataje hadi ushindwe kuona habari za Congo.?Sina taarifa hizo.
Taarifa ziambatane na ushahidi.
Relax grandma n enjoy your IDD,ila elewa jirani yako hajajaliwa hicho ulichojaliwa,na sikushangai sana,unayajua sana ya middle east ila ya hapa DRC,South Sudan,Somalia,capo Delgado na huku lingusenguse huyajui,shame on you kwa kuishi kwa pretendingSina taarifa hizo.
Taarifa ziambatane na ushahidi.
Siyajuwi, wala sina haja ya kuyajuwa.Relax grandma n enjoy your IDD,ila elewa jirani yako hajajaliwa hicho ulichojaliwa,na sikushangai sana,unayajua sana ya middle east ila ya hapa DRC,South Sudan,Somalia,capo Delgado na huku lingusenguse huyajui,shame on you kwa kuishi kwa pretending
Upo na dera lako?Hivi huelewi kuwa wapigania uhuru wa dunia nzima tupo kwenye hii vita?
Toka lini mwanamke juha kama wewe akawa mchambuzi wa vita.Usifikiri vita vinapiganwa kwenye nedani tu.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Siyajuwi, wala sina haja ya kuyajuwa.
Kila mmoja wetu na lwake.
Umeandika kwa hasira sana inaonekana kweli IDF wameshindwa vita
wahuni idf walikua hawana lengo lolote zaidi ya kisasiAllahu Akbar.
Mkuu wa majeshi ya Israel kwa kauli yake mwenyewe, amekiri kushindwa vita na Hamas.
Israel imethibitisha kuwa imeshindwa kufikia malengo yake ya vita katika Ukanda wa Gaza wakati waasi wa IDF wakijiondoa kutoka sehemu kubwa ya eneo la Palestina baada ya mapigano ya miezi kadhaa. Mkuu wa majeshi, Luteni Jenerali Herzi Halevi amesema malengo hayo bado hayajafikiwa kikamilifu katika Ukanda wa Gaza na hiyo ni pamoja na kurejea kwa mateka wote, kurejea kwa wakaazi wote wa kaskazini na kusini katika makazi yao kwa usalama, na kusambaratisha Hamas katika Ukanda mzima wa Gaza. Tazama video kwa zaidi. HABARI ZA KIMATAIFA
View: https://youtu.be/x9VSIMjK2Ho?si=CWTf6IY4PcFXgCpm
Ya Hamas yanakuhusu nhe!Siyajuwi, wala sina haja ya kuyajuwa.
Kila mmoja wetu na lwake.
Allahu Akbar.
Mkuu wa majeshi ya Israel kwa kauli yake mwenyewe, amekiri kushindwa vita na Hamas.
Israel imethibitisha kuwa imeshindwa kufikia malengo yake ya vita katika Ukanda wa Gaza wakati waasi wa IDF wakijiondoa kutoka sehemu kubwa ya eneo la Palestina baada ya mapigano ya miezi kadhaa. Mkuu wa majeshi, Luteni Jenerali Herzi Halevi amesema malengo hayo bado hayajafikiwa kikamilifu katika Ukanda wa Gaza na hiyo ni pamoja na kurejea kwa mateka wote, kurejea kwa wakaazi wote wa kaskazini na kusini katika makazi yao kwa usalama, na kusambaratisha Hamas katika Ukanda mzima wa Gaza. Tazama video kwa zaidi. HABARI ZA KIMATAIFA
View: https://youtu.be/x9VSIMjK2Ho?si=CWTf6IY4PcFXgCpm
.
Hapa ni narrative, malengo yao hayajafanikiwa na si kwasababu hamas ni wazuri but idadi ya raia wasio na hatia wanao uwawa and lastly wana loose international support kwa speed ya 4gAllahu Akbar.
Mkuu wa majeshi ya Israel kwa kauli yake mwenyewe, amekiri kushindwa vita na Hamas.
Israel imethibitisha kuwa imeshindwa kufikia malengo yake ya vita katika Ukanda wa Gaza wakati waasi wa IDF wakijiondoa kutoka sehemu kubwa ya eneo la Palestina baada ya mapigano ya miezi kadhaa. Mkuu wa majeshi, Luteni Jenerali Herzi Halevi amesema malengo hayo bado hayajafikiwa kikamilifu katika Ukanda wa Gaza na hiyo ni pamoja na kurejea kwa mateka wote, kurejea kwa wakaazi wote wa kaskazini na kusini katika makazi yao kwa usalama, na kusambaratisha Hamas katika Ukanda mzima wa Gaza. Tazama video kwa zaidi. HABARI ZA KIMATAIFA
View: https://youtu.be/x9VSIMjK2Ho?si=CWTf6IY4PcFXgCpm
Allah kachemsha, watoto kina mama wanakufa yeye anaangalia tu! Tumia akili yako wewe! Amka toka usingizini!Allahu Akbar.
Bibi ushaswali????Allahu Akbar.
Mkuu wa majeshi ya Israel kwa kauli yake mwenyewe, amekiri kushindwa vita na Hamas.
Israel imethibitisha kuwa imeshindwa kufikia malengo yake ya vita katika Ukanda wa Gaza wakati waasi wa IDF wakijiondoa kutoka sehemu kubwa ya eneo la Palestina baada ya mapigano ya miezi kadhaa. Mkuu wa majeshi, Luteni Jenerali Herzi Halevi amesema malengo hayo bado hayajafikiwa kikamilifu katika Ukanda wa Gaza na hiyo ni pamoja na kurejea kwa mateka wote, kurejea kwa wakaazi wote wa kaskazini na kusini katika makazi yao kwa usalama, na kusambaratisha Hamas katika Ukanda mzima wa Gaza. Tazama video kwa zaidi. HABARI ZA KIMATAIFA
View: https://youtu.be/x9VSIMjK2Ho?si=CWTf6IY4PcFXgCpm
Kafiri moga hatari. Kwanza kufa anaogopa ndio maana anatumia silha nzito na kuomba msaada kila pande. Muislam kufa kwake faraja hasa akiwa anapigania haki yake.Allahu Akbar.