TANZIA Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (KDF) Jenerali Francis Ogolla afariki katika ajali ya Helikopta ya Jeshi

Kenya huwa wanachomoana namna hii..
Kuna namna.
 
Taarifa kutoka zinasema Helicopter ya Jeshi la Kenya imeanguka na kuwaka moto ikiwa na watu 9 ndani inasemekana pia alikuwepo General Ogola (CDF)
Rais Ruto ameitisha kikao cha dharura
 

Attachments

  • 523b028a8b624a9efc2e005db74464a6.jpg
    131.2 KB · Views: 2
  • 1e8034ab1b23c3b7d02ee602cadabdbe.jpg
    98 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…