kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 18,585
- 16,780
Kwenye ndege kuna parachuti?Hiv kwann wasingechomoka na parushut walikuw wanapamban tuu ku control
au kwasababu ni helicopter?
Mdau ulishasafiri na ndege?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye ndege kuna parachuti?Hiv kwann wasingechomoka na parushut walikuw wanapamban tuu ku control
Kenya huwa wanachomoana namna hii..Ndege iliyombeba Mkuu wa Majeshi ya Kenya (KDF) Luteni Jenerali Francis Ogolla imepata ajali muda mchache baada ya kuruka angani.
Bado Taarifa rasmi haijatolewa juu ya Usalama wao, lakini taarifa za awali zinadai ndege hiyo ya Kijeshi ilikuwa imebeba watu 9, na imewaka moto baada ya kudondoka hivyo kutilia hofu usalama wake.
Rais William Ruto ameitisha kikao cha dharula cha Baraza la Usalama wa Taifa.
Taarifa zaidi zitakujia hivi Punde.
Citizen TV
======
A BRIEF BIO OF THE KDF BOSS CDF OGOLLA
Gen Francis Omondi Ogolla joined the Kenya Defence Forces on 24 April 1984 and was commissioned as 2nd Lieutenant on 6 May 1985 and posted to Kenya Air Force
He trained as a fighter pilot with USAF and as an instructor pilot at the Kenya Air Force (KAF).
He also trained in other fields including imagery intelligence, counter terrorism and accident investigation
Gen Francis O Ogolla is a graduate of ÉcoleMilitaire de Paris and National Defence College of Kenya
He holds Diploma both in International Studies and Military Science from Egerton University, a Bachelor of Arts in Political Science, Armed Conflict and Peace Studies (First Class Honors) and Masters of Arts in International Studies from the University of Nairobi
He rose through ranks to become a Major General and appointed the Commander Kenya Air Force on 15 July 2018 a post he has served for three years
Previously he has held various appointments in Training, Command and Staff including Deputy Commander Kenya Air Force, Base Commander laikipia Air Base, Commanding Officer of Tactical Fighter Wing, Chief Flying Instructor at Kenya Air Force Flying Training School and Operations Desk Officer at Kenya Air Force Headquarters
He also served in the former Yugoslavia as an Observer and Military Information Officer from 1992 to 1993, as chairman of Military Christian Fellowship from 1994 to 2004 and co-Chair of Association of African Air Chiefs between 2018-2019
He is married to Aileen, and blessed with two children and a grandson. His hobbies include reading and playing golf.
Inasikitisha sanaKenya huwa wanachomoana namna hii..
Kuna namna.
Hawa ndo watoto wa ovyo, baba kafa unaanza kupost post Nini sasa, attention seekers!!!Dingi kafariki,mwanaye kapost LinkedIn View attachment 2967609
Ndio anatoa taarifa sasa.Hawa ndo watoto wa ovyo, baba kafa unaanza kupost post Nini sasa, attention seekers!!!
Mtu kama cdf achia rais atoe taarifa rasmi
Shenzi
Kwenye ndege kuna parachuti?
au kwasababu ni helicopter?
Mdau ulishasafiri na ndege?
Basi sawa mdau!Hpn kwa ndege , ila najua parashuti zpo kwa helicopter ambayo nishaitumia
Hata mimi nimeshangaa sana, na anasema kabisa baba yake alikuwa statesman!Hawa ndo watoto wa ovyo, baba kafa unaanza kupost post Nini sasa, attention seekers!!!
Mtu kama cdf achia rais atoe taarifa rasmi
Shenzi
Malezi mkuu............. dingi mbegu amepoteza bure kabisa....hakajawaza hata nafasi ya Baba yake......Hawa ndo watoto wa ovyo, baba kafa unaanza kupost post Nini sasa, attention seekers!!!
Mtu kama cdf achia rais atoe taarifa rasmi
Shenzi
Naona ruto katoa confirmed statement, hii ndo sawa, msiba wa mtu kama cdf haupaswi kutangazwa na familiaHata mimi nimeshangaa sana, na anasema kabisa baba yake alikuwa statesman!
Tuseme labda kachanganyikiwa tu.
Vitoto vya afumbili...Dingi kafariki,mwanaye kapost LinkedIn View attachment 2967609
Aisee!Hata mimi nimeshangaa sana, na anasema kabisa baba yake alikuwa statesman!
Tuseme labda kachanganyikiwa tu.
Mmepoteza mtu mdauPoleni sana Wakenya....Tena yeye ni Pilot daaa tooo bad ..one Pilot is down