TANZIA Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (KDF) Jenerali Francis Ogolla afariki katika ajali ya Helikopta ya Jeshi

Ndugu zangu watanzania,

Habari ya kusikitisha kutoka nchini kenya inasema ya kuwa mkuu wa majeshi wa nchi hiyo jenerali Fransis Ogolla amefariki Dunia kutokana na ajali ya ndege.

Tuwaombee wakenya na kuwapa pole sana kwa msiba huo mzito kwa Taifa lao.

Mungu ailaze mahali pema peponi Roho ya marehemu.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
 
Nakumbuka wakati nme panda chopa kutokea arusha hadi juu ya Mt Kilimanjaro mawazo yote yalio jinsi iki anguka kabla aija fika chini najirusha kujiokoa
 
Ndugu zangu watanzania,

Habari ya kusikitisha kutoka nchini kenya inasema ya kuwa mkuu wa majeshi wa nchi hiyo jenerali Fransis Ogolla amefariki Dunia kutokana na ajali ya ndege.

Tuwaombee wakenya na kuwapa pole sana kwa msiba huo mzito kwa Taifa lao.

Mungu ailaze mahali pema peponi Roho ya marehemu.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
Tusubiri Rais Ruto atangaze rasmi, maana kuna wengine pia wamo wamepona!!
 
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
Mama ako kausikaje kwenye kifo cha Huyo mtu hadi umtukuze..?
Kila kitu unamsifia mama mama kheeee
 
Back
Top Bottom