Mkuu wa Mkoa Chalamila ahudhuria kwa Mwamposa kuombewa

Dr Matola PhD

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Posts
60,050
Reaction score
104,466
Leo kwenye ibada ya jumapili kwenye madhabau ya Arise and shine Rais Samia Suluhu Hassani amemtuma mkuu wa mkoa wa DR Chalamila kufikisha sadaka yake ya shukrani kwa Mwamposa.

Niongeze volume?

Mama anachanga karata zake vyema, ukikamata watu wa mpira na watu wa dini shughuri imekwisha.
 
Watu Wana hela hawajui hata pa kuzipeleka, ila sawa, acha wananchi waendelee kukosa dawa maana hatujitambui!!
Hizi ni calculation za Ki siasa, shida za madawa hawezi kumaliza Samia, yeye anatengeneza base yake.

Sasa hivi hadi Waitara aliyelia bungeni sasa hivi ameungana nao kulamba asali.

Cha kufanya hakikisha na wewe unatega route ya asali ili na wewe ulambe.
 
Leo kwenye ibada ya jumapili kwenye madhabau ya Arise and shine Rais Samia Suluhu Hassani amemtuma mkuu wa mkoa wa DR Chalamila kufikisha sadaka yake ya shukrani kwa Mwamposa.

Niongeze volume?

Mama anachanga karata zake vyema, ukikamata watu wa mpira na watu wa dini shughuri imekwisha.
Kama chalamila hajajiongeza mwenyewe wala hakutumwa sijui... Maana chalamila ana mastory mengi. Huyu huyu mama samia aliyealikwa na wanawake katoliki siku yao akasubiri ibada iishe ndipo aingie leo akatoe sadaka kwa mwamposa... Labda.
Sema mama ni smart yule, aliona masuala ya bwana Yesu asifiwe hayawezi akaamua bora aje na salam ambayo si dhehebu lolote aka kazi iendelee
 
Leo kwenye ibada ya jumapili kwenye madhabau ya Arise and shine Rais Samia Suluhu Hassani amemtuma mkuu wa mkoa wa DR Chalamila kufikisha sadaka yake ya shukrani kwa Mwamposa.

Niongeze volume?

Mama anachanga karata zake vyema, ukikamata watu wa mpira na watu wa dini shughuri imekwisha.
Nimeeona na mimi chalamila anaimbisha wimbo nikacheka tu
 
Leo kwenye ibada ya jumapili kwenye madhabau ya Arise and shine Rais Samia Suluhu Hassani amemtuma mkuu wa mkoa wa DR Chalamila kufikisha sadaka yake ya shukrani kwa Mwamposa.

Niongeze volume?

Mama anachanga karata zake vyema, ukikamata watu wa mpira na watu wa dini shughuri imekwisha.
Shukranii ya kupitishwa kwa azimio hiyo
 
Back
Top Bottom