Mkuu wa Mkoa Chalamila ahudhuria kwa Mwamposa kuombewa

Mkuu wa Mkoa Chalamila ahudhuria kwa Mwamposa kuombewa

Madhabau!
Atowa!
Hawa watoto ni hatari sana.
Ndiyo wanaweza kipambanua tofauti za MoU na contract kweli???? Kweli??
 
Leo kwenye ibada ya jumapili kwenye madhabau ya Arise and shine Rais Samia Suluhu Hassani amemtuma mkuu wa mkoa wa DR Chalamila kufikisha sadaka yake ya shukrani kwa Mwamposa.

Niongeze volume?

Mama anachanga karata zake vyema, ukikamata watu wa mpira na watu wa dini shughuri imekwisha.
Daah kwny pita pita zangu nikakutana nayo WASAFI TV live ,chalamila kamuwakilisha bi mkubwa kwa mwamposa na bahasha ya kaki imejaa mzigo,noma km oxygen yuko kila sehemu
 
........wabongo bana, kunya anye kuku, akinya bata kaharisha, waamini kila siku wanatoka sadaka lakini leo katoa mama imekuwa nongwa, tubadilike aisee na yeye nje ya urais ni binadamu ambaye anamuamini na kumuabudu Mungu, sijui nani kawaambia kiongozi akitoa pesa yake sehemu maana yake kakwapua BOT, umasikini umetuathiri hadi vichwani....
.......mama kama binadamu anaweza kuwa na mapungufu yake, lakini basi tuwe tunalalamika kwenye vitu vya msingi vinginevyo tunaonekana tuna gubu tu, yaani hadi sadaka duuh!!, sijui angesema anajenga kanisa ingekuwaje, yaani hadi mjadala umechange na kuingiza mambo ya yanga na bandari, hatari sana bongo kiongozi hana haki ya kushiriki social issues.....
 
Jana bungeni alivyokuwa anaongea Waitara huwezi kuamini kama ndio Waitara huyu huyu siku chache zilizopita alikuwa analia bungeni.

Kweli Dubai ni mwisho wa matatizo.
 
Mkuu wa mkoa wa DSM mh Albert Chalamila amesema ilimlazimu kukatiza ibada Kanisani Kwake Ili kushiriki maombezi kwa Mtume Mwamposa ambako Rais alituma Sadaka yake

Viongozi Wengi wa Serikali, CCM na hata Chadema walionekana Ibadani hapo Wakipokea Baraka za Roho Mtakatifu

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Mbu mbu wanajulikana tu. Itawasaidia nini WAKATI WANAKUBALI NCHI KUNYONYWA KUUZWA KUIBA KUSAHAU RAIA WAO?!
Tunawasubiri 2025!
 
Back
Top Bottom