Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Hizi ni calculation za Ki siasa, shida za madawa hawezi kumaliza Samia, yeye anatengeneza base yake.Watu Wana hela hawajui hata pa kuzipeleka, ila sawa, acha wananchi waendelee kukosa dawa maana hatujitambui!!
Some people they can not cry until they a see coffin.Picha
Ukitaka fomu zinatolewa na Rais wa machawa Baba Revo.Nakuona Chawa wa Samia ukiwa mstari wa mbele
Unakamata kanisa na mpira unaachia bandari zote? Alisoma hesabu zipi?Watu Wana hela hawajui hata pa kuzipeleka, ila sawa, acha wananchi waendelee kukosa dawa maana hatujitambui!!
Mzitapike pesa za pochi la mama.Watu wa mpira au Yanga?
Na haiwezi kuwa ajabu maana Yanga ni CCM pure.
Tunamalizia na Bakwata kama kawaida, ndege ya mahujaji atatowa mama.Unakamata kanisa na mpira unaachia bandari zote? Alisoma hesabu zipi?
Kama chalamila hajajiongeza mwenyewe wala hakutumwa sijui... Maana chalamila ana mastory mengi. Huyu huyu mama samia aliyealikwa na wanawake katoliki siku yao akasubiri ibada iishe ndipo aingie leo akatoe sadaka kwa mwamposa... Labda.Leo kwenye ibada ya jumapili kwenye madhabau ya Arise and shine Rais Samia Suluhu Hassani amemtuma mkuu wa mkoa wa DR Chalamila kufikisha sadaka yake ya shukrani kwa Mwamposa.
Niongeze volume?
Mama anachanga karata zake vyema, ukikamata watu wa mpira na watu wa dini shughuri imekwisha.
Ndio mlivyoambiwa kuwa zile pesa zilitoka kwenye pochi yake?Mzitapike pesa za pochi la mama.
Nimeeona na mimi chalamila anaimbisha wimbo nikacheka tuLeo kwenye ibada ya jumapili kwenye madhabau ya Arise and shine Rais Samia Suluhu Hassani amemtuma mkuu wa mkoa wa DR Chalamila kufikisha sadaka yake ya shukrani kwa Mwamposa.
Niongeze volume?
Mama anachanga karata zake vyema, ukikamata watu wa mpira na watu wa dini shughuri imekwisha.
Hahhahaa pesa kharamu wanaitakatishia kwa Mwampo...lolFungu la DP World...
Shukranii ya kupitishwa kwa azimio hiyoLeo kwenye ibada ya jumapili kwenye madhabau ya Arise and shine Rais Samia Suluhu Hassani amemtuma mkuu wa mkoa wa DR Chalamila kufikisha sadaka yake ya shukrani kwa Mwamposa.
Niongeze volume?
Mama anachanga karata zake vyema, ukikamata watu wa mpira na watu wa dini shughuri imekwisha.